Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Niko Airport hapa namsubiri.
Ila JPM alikuea kipenzi cha watu.
Katuacha mapema mno.
Ila apangalo Mungu......
Vaeni barakoa nyie mataga.
za kuambiwa changanya na zako
Hhahahha...kuna watu vichaa sana!Leo sioni malalamiko ya watu kusombwa kwa maloli
Kuna watu wanaumia kwa nyomi hilo wanamwonea wivu hadi Marehemu
Huyo anayekodi watu atakuwa nani sasa? Na atakuwa anataka kumuaminisha nani labda? Lisu?
Iko wazi, mafuta na maji hayachangamani na ndio kinachoonekana, mafuta yote yanaelea juu ya maji kwa sasa, wafungue TBC au Channel 10 waone nguvu ya maji.
Kabisa.Mungu anawachukua watu wema haraka sana ili waende kupumzika. Wabaya anawaacha kwanza wale bata afu wajifunze maisha. Lakini kuna wabaya wengine toka wana zaliwa mpaka kufa wanakula bata...
Dadadeki[emoji23][emoji23][emoji23]Barakoa sivai na sijaribu
Na tusiompenda tuko wengi vile vileMwanza ataletwa j5 ila mpaka sasa watu wapo maeneo ya airport watamsubiri. Hapo ndo utajua nini maana ya mtu kupendwa.
Ulitaka kwenda nae?Niko Airport hapa namsubiri.
Ila JPM alikuea kipenzi cha watu.
Katuacha mapema mno.
Ila apangalo Mungu......
Huu uongo waambie shemeji zako.Mwanza ataletwa j5 ila mpaka sasa watu wapo maeneo ya airport watamsubiri. Hapo ndo utajua nini maana ya mtu kupendwa.
Swali linaogopesha hili[emoji23]. Its a haunting question.Ulitaka kwenda nae?
Hata ingekua siku ya kazi bdo wamama wangeenda wengiLeo watu wengi so siku ya kazi kwa sehem kubwa wengi wamefunga shughul zao
Kipi kimekufurahisha hadi ucheke kama siyo hila?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]