Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Dar INA wakazi milioni 6 hivi
Watu milioni 2 hivi wanaweza wakawa wanampenda jiwe na wakajitokeza kumuaga ila haizuuiii hao milioni 4 wanaweza wakawa hawampendi
Hivyo haiondowi ukweli kwamba mwendazake anapendwa na hapendwi vile vile
Ni human nature hiyo mkuu!