Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

Na mashoga wa ubeligiji mshinde mitandaoni sababu ni ya mabwana zenu wamelipia
Aisee mataga umepanic mnoo katikati ya msiba mzito.
Hebu jitahidi kujichanganya na wafiwa wengine, maana ukikaa peke yako sana huenda utajidhuru.
 
Aisee mataga umepanic mnoo katikati ya msiba mzito.
Hebu jitahidi kujichanganya na wafiwa wengine, maana ukikaa peke yako sana huenda utajidhuru.
Naona wabeligiji mnamuonea wivu marehemu................inauma ila inabidi mzoee
 
Wamelazimishwa na nani? Una ushahidi gani? Mi niko mtaa wa Lindi na Msimbaz nipo hapa sijaona mtu yoyote analazimishwa kwenda Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza leo j2 kuwakuta machinga ni nadra sana na mm kkoo naijua vzr uyo jamaa ni mnafiki sana
Unanijua mimi mkuu mpaka uniite mnafiki? Sio Leo ni jana, Meza karibia zote zilikuwa empty, na ameniambia machinga mwenyewe wameambiwa waende msibani.
 
Kila nafsi itaonja mauti, usijione kwa vile una nguvu za kuandika hapa ukadhani hutokufa, mimi na wewe sote ni marehemu watarajiwa na siku yetu hatuijui, bora yeye ameshaimaliza,

Jitafakari wewe utakufa kifo cha aina gani?
Cha kupondwa pondwa na kontena nduguzo washindwe kukutambua, cha kuungua na moto ubaki umekauka, cha kuzama baharini uliwe na samaki, cha kugongwa na chombo cha moto na kubaki mshangao kwa mashuhuda.....

Tujitafakari pumzi isitupe kiburi.
Wanawake huwa mna roho ya huruma kweli , ndo mana hamfi mapema ona mama Maria Nyerere yupo mpak sa hv
 
Watu wamejaa sana sana hapa Uhuru
Watu wanampenda sana Raisi JPM

Na watu wanazidi kumwagika mpaka Tundu anatamani Angekufa yeye

Kwa kwa kwa kwa!
 
Ikiwa ni siku ya pili kwa wakazi wa Dar kumuaga Hayati Magufuli. Uwanja wa uhuru ulifurika tangu saa tatu na nusu hali iliyofanya wengine waombwe kusubiri nje

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe aliwaomba wawe wavumilivu kwa kuwa wote watapata fursa ya kuaga kabla mwili haujasafirishwa kwenda Dodoma

Waombolezaji wameonekana wakiwa na uchungu mkubwa, wakilia wengine wakizimia kwa vilio baada ya kuuona mwili wa Rais Magufuli kwenye Jeneza

Mwili wa Hayati Magufuli utasafirishwa leo, Machi 21 kwenda Dodoma ambapo Machi 22 wanaDodoma watapata wasaa wa kuaga

View attachment 1730756
Nilitegemea hayaz huyu ndie kipenzi mwenyewe cha wanyonge! Genius Magufuli

 
UWANJA WA UHURU WASHINDWA KUWAMUDU WALIOJITOKEZA KUAGA

Waombolezaji waliujaza Uwanja tangu saa 3:30 asubuhi, waombolezaji wengine waliombwa wasubiri nje, wakihakikishiwa kuingia uwanjani kumuaga Dkt. Magufuli watu wengine wakipungua


IMG_20210321_124830_866.JPG
 
Back
Top Bottom