Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

Gari la TOT linapita mitaa kuwaomba wananchi wajitokeze airpot kuupokea mwili utakaowasili leo saa 9. Naimanai wananvhi watakua wengi na Jiji zima litakua ni vilio na simanzi

#ByeMagufuli
 
Kabisa.
Hapo ndipo wale wenye roho nyepesi huanza kukufuru.
Ila yote tuache yatimie.

Raha ya milele umpe ee bwana...na mwanga wa milele umuangazie,
Apumzike kwa amani.
Amina.
Tuanze mchakato ili aitwe mtakatifu?
 
Mimi nimebanwa hapa mlangoni nikafanikiwa kuingia ila hamna dalili za kuaga , nimekuja zangu Mkapa Stadium nakula upepo tu
91B18D89-06D6-4DA9-867F-1A3D027FC83B.jpg

IMG_0165.jpg
 
Chuki zitawaacha vibaya kwa kuongea kila lisilojema dhidi ya msiba huu.

Hata kama wakikodishwa kuja kulia wewe inakugharimu nini hasa?

Kunawatu hawana uwezo wa kufika hapo je wakisafirishwa kuna ubaya gani?

Ulitaka watu watoke chalinze kwa mguu kuja kuaga wakati usafiri upo.

Ukiwa na hakili za kushikiwa kama zako ni shida sana
Na wasipoangalia hata wanainchi wameshawagunduwa dhamira yao ovu, kupitia msiba huu.
 
Wangetengeneza mazingira ya watu kuingia na kutoka sio kukaa ndani.
Mtu aage aondoke zake.
 
Watz hatuendelei kwa watu boga kama hao, tuna bogaz wengi sana. Mungu atusaidie kwakweli. Watu wanachuki sana walitaka watu wasiende ili wapate maneno ila watu wamejitokeza kila kona kwasababu wanampenda sana.
Kwani wasipompenda au wakampenda ndio inasaidia kuingia mbinguni? naona umeumia sana
 
Back
Top Bottom