Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

Kadri muda unavyoenda hali ni mbaya zaidi...usalama uongezwe shughuli iishe kwa wakati...kuna wengine sijui kama wataweza kuaga

....ila wamekodishwa kuja + kulia
Chuki zitawaacha vibaya kwa kuongea kila lisilojema dhidi ya msiba huu.

Hata kama wakikodishwa kuja kulia wewe inakugharimu nini hasa?

Kunawatu hawana uwezo wa kufika hapo je wakisafirishwa kuna ubaya gani?

Ulitaka watu watoke chalinze kwa mguu kuja kuaga wakati usafiri upo.

Ukiwa na hakili za kushikiwa kama zako ni shida sana
 
Mkuu kuna wanaosema hivyo...mimi ninebaki kuwashangaa sana
 
Watafia wapi?

Vidudu vinapenya barakoa tangu lini?

Yote yaliyoumwa au kufa yalikua hayavai barakoa,check again and come back here
Wewe ni empty set wanaokufa huko kwa mabwana zenu ulaya hawavai barokoa?

Ongelea uhalisia siyo mihemko itakugharimu uzeeni mwako.

Watu wangapi duniani wamevaa barakoa na wamekufa wakaona haitoshi waweke karanti ila kwa kuwa wewe ni MPINGAJI basi upo kuponga kila kitu hata Uafrika wakonuko tayari kuupinga
 
Wengine wanaenda ili kuhakikisha kama mtesi wao kweli amefariki ama la? Wengine hawana kazi wameona bora wakazurure kwenye jeneza ila wengine wanampenda
 
Mtu kafa kwa mipango ya Mungu kamtaka mtu wake.anatokea mtu huko endivijo eti anasema eti kaondoka bado mapema.sasa alitaka akae hadi lini.
Hili neno la kaondoka mapema umeanza kulisikia kwenye msiba wa Magufuli eti,mbona mijitu mingine mnaleta chuki na matatizo yenu kwenye misiba ya wenzenu?

Subirini misiba yenu mfanye hayo mnayoyataka
 
Watafia wapi?

Vidudu vinapenya barakoa tangu lini?

Yote yaliyoumwa au kufa yalikua hayavai barakoa,check again and come back here

Usimpangie mtu maisha ya kuishi kila mtu anaamua yeye, sababu humlishi humuudumii kila mtu anachagua life yake, mimi nimechagua barakoa sivai kama kufa acha nife.
 
Hili neno la kaondoka mapema umeanza kulisikia kwenye msiba wa Magufuli eti,mbona mijitu mingine mnaleta chuki na matatizo yenu kwenye misiba ya wenzenu?

Subirini misiba yenu mfanye hayo mnayoyataka
Hakuna kitu kama hicho mtu kafa amekufa kwa wakati wake hii biashara ya kusema eti kafa bado mapema nitapingana nayo hadi kufa kwangu.
Mbona akifa mtu kuanzia miaka 90 na kuendelea hamsemagi hivyo?huo ni unafiki mamboleo
 
Kila nafsi itaonja mauti, ila barakoa sitojaribu kuvaa hata kuishika ninamuamini Mungu hizo barakoa mnazozikimbilia ndo zinawaua
Sawa Comrade.
Haya fanya hima bila Barakoa na ukiwa na Mungu wako tuu enenda uwanja wa uhuru Day 2 tena kajiridhishe kama ni Niyeyeee!
Watu wa mataifa wanasema leo amebadilishwa jumba.
 
Back
Top Bottom