Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

We umechanganyikiwa vizuri sn
 
Katiba sio agenda ya CCM lakini hiyo haizuii kuwa agenda ya CHADEMA

Katiba siyo agenda ya Serikali lakini haizuii hiyo kuwa agenda ya CHADEMA

CHADEMA kama chama cha siasa wana haki ya kukutana na wanachama kwa ajili ya agenda zao kama CCM walivyo na haki hiyo.

Mtu uko 50+ years and minister with great background kwenye uongozi au career yako but still anaogopa vitu vidogo vidogo kama Katiba Mpya au kongamano tu

Viburi vya viongozi kinatokana na viwango walivyowekewa na wananchi. Hatuwezi kuwa na kiongozi wenye busara kama wananchi wa tabia yako wapo nchini. Hopeless kabisa

Najaribu kutafakari aina ya Vijana tu
 
Well said
 
Kwamba Lissu alisema watu watoke barabarani hawakutoka,kwani hukumbuki viongozi wate walichukuliwa usiku na kuwekwa kusikojulikana.

By the way kila kitu kina faida na hasara zake,yataendelea hivi ila IPO siku haitakuwa hivi.ila bado Wananchi wa Tanzania hawajijui
 
CDM ni mfa maji mkuu, now wanarusha rusha miguu na mikono kwa mara ya mwisho! Ukiona chama hata kamanda kama Mdee kaamua liwalo na liwe kasepa, basi hicho chama kishajifia. Magufuli alishawaona hawa jamaa ni wababaishaji ndiyo maana akaamua "kurara nao mbere"
 
Ukisikia naye kaenda Mzena urudi tena hapa kuuliza tutakupa majibu Mungu hataniwi , yaani Chahali hata hufahamiki unapigania nini , labda ulikuwa unampinga Magufuli tu , sisi tunapigania haki za nchi , ikiwemo Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
 
Kuna siku huwa akili zako zinakuwa zimerudi aisee .hebu waambie tena kabla hujawampuuzi tena


USSR
 
Kwa ujinga huu ulioandika, wewe ni typical mtanzania.

We na mimi hatupaswi kuwashambulia kina Mbowe bali yatupasa kuhoji tumechukua hatua gani kuwaunga mkono.

Nchi za wenzetu ujinga kama huu haupo isipokuwa Bongo tu.

Sasa lipeni tozo za simu na muache kulalamika maana hakuna mnachoweza.
 
Mdude kakamatwa na malaya mbovu kama kuku wa mdondo.

Kwa nini CHADEMA wanampa hata mic aseme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…