Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu.
Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka kupitia maombi, kwamba hatuhitaji chanjo kabisa.
Lakini pia tulifichwa kuhusu madhara ya kiuchumi yaliyoletwa na Corona au maamuzi ya Serikali yetu.
UWAZI NA UKWELI
-Huku kukiwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wahafidhina, Rais Samia alitueleza ukweli kwamba Corona ipo, akachuku hatua kwa uwazi kabisa. Chanjo ikawekwa hadharani.
Matokeo yake ni kwamba nchi yetu sasa imepata imani zaidi kutoka wa wakezaji na watalii ambao wanafahamu kwamba tumechukua hatua hivyo hawaji kucheza pata potea.
-Lingine ni namna alivyotueleza kuhusu TOZO. Huko nyuma kulikuwa na maneno mengi ya kufunika kombe wakati uchumi wetu unaumia.
Tozo ililetwa katika uwazi, tukaambiwa kwa nini imewekwa na wapi inakwenda.
- Pia Rais Samia aliweka hadharani namna atakavyotumia fedha za mkopo takribana trilioni 1.2. Angeweza kukaa kimya lakini akafanya kila mtu ajue ili pia tuwe na nafasi ya kukosoa na kuhoji iwapo matumizi hayataenda vizuri.
RAIS SAMIA NI MKWWELI , Ni muwazi. Anasema ahata ule ukweli ambao unatuumiza na pengine utampa shida kutete kiti chake 2025.
Msema kweli mpenzi wa Mungu, Mungu hatamuacha Rais wetu.