Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu.

Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka kupitia maombi, kwamba hatuhitaji chanjo kabisa.

Lakini pia tulifichwa kuhusu madhara ya kiuchumi yaliyoletwa na Corona au maamuzi ya Serikali yetu.

UWAZI NA UKWELI
-Huku kukiwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wahafidhina, Rais Samia alitueleza ukweli kwamba Corona ipo, akachuku hatua kwa uwazi kabisa. Chanjo ikawekwa hadharani.

Matokeo yake ni kwamba nchi yetu sasa imepata imani zaidi kutoka wa wakezaji na watalii ambao wanafahamu kwamba tumechukua hatua hivyo hawaji kucheza pata potea.

-Lingine ni namna alivyotueleza kuhusu TOZO. Huko nyuma kulikuwa na maneno mengi ya kufunika kombe wakati uchumi wetu unaumia.
Tozo ililetwa katika uwazi, tukaambiwa kwa nini imewekwa na wapi inakwenda.

- Pia Rais Samia aliweka hadharani namna atakavyotumia fedha za mkopo takribana trilioni 1.2. Angeweza kukaa kimya lakini akafanya kila mtu ajue ili pia tuwe na nafasi ya kukosoa na kuhoji iwapo matumizi hayataenda vizuri.

RAIS SAMIA NI MKWWELI , Ni muwazi. Anasema ahata ule ukweli ambao unatuumiza na pengine utampa shida kutete kiti chake 2025.

Msema kweli mpenzi wa Mungu, Mungu hatamuacha Rais wetu.
She’s queen of nonsense.
 
Unaweza kuta we ni graduate kabisa .Kwakweli elimu yetu hii tumepigwa.Huna uzalendo wowote zaidi ya kujipendekeza kwa wanasiasa
 
Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu.

Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka kupitia maombi, kwamba hatuhitaji chanjo kabisa.

Lakini pia tulifichwa kuhusu madhara ya kiuchumi yaliyoletwa na Corona au maamuzi ya Serikali yetu.

UWAZI NA UKWELI
-Huku kukiwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wahafidhina, Rais Samia alitueleza ukweli kwamba Corona ipo, akachuku hatua kwa uwazi kabisa. Chanjo ikawekwa hadharani.

Matokeo yake ni kwamba nchi yetu sasa imepata imani zaidi kutoka wa wakezaji na watalii ambao wanafahamu kwamba tumechukua hatua hivyo hawaji kucheza pata potea.

-Lingine ni namna alivyotueleza kuhusu TOZO. Huko nyuma kulikuwa na maneno mengi ya kufunika kombe wakati uchumi wetu unaumia.
Tozo ililetwa katika uwazi, tukaambiwa kwa nini imewekwa na wapi inakwenda.

- Pia Rais Samia aliweka hadharani namna atakavyotumia fedha za mkopo takribana trilioni 1.2. Angeweza kukaa kimya lakini akafanya kila mtu ajue ili pia tuwe na nafasi ya kukosoa na kuhoji iwapo matumizi hayataenda vizuri.

RAIS SAMIA NI MKWWELI , Ni muwazi. Anasema ahata ule ukweli ambao unatuumiza na pengine utampa shida kutete kiti chake 2025.

Msema kweli mpenzi wa Mungu, Mungu hatamuacha Rais wetu.
Unahangaika sana

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kama hujui hujui tu.
Magufuli aliamini tunguli na mafusho ndo maana korona ikampeleka kuzimu
Kafa kibudu.
Kama bado unamkumbuka kamfufue uzikwe wewe ma wasukuma wenzio
Mimi siyo msukuma

Ila Magufuli hajafa na Corona

Wala Corona siyo ugonjwa. Ni upumbavu tu maalumu kwa ajili ya watu wajinga duniani

Kama unayo Corona niletee mimi niione
 
Mwanamke akiwekwa juu zaidi utazidi kujua upumbavu wake wa juu zaidi. Mimi siwezi mwamini hata nikisinzia nitamkataa maana ni mnafki wa kiwango cha juu sana
 
Back
Top Bottom