Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Nililiwaza hili mara baada ya kuona kile kipeperushi kinachomtangaza Makonda kuwa mgeni kesho katika kipindi cha Tuingee asubuhi.
 
Baada ya Paul Makonda hali yake kisiasa kuchafuka kutokana na matendo yake hivi karibuni alikuja Mwanza na kubaini kuwa kwa sasa amepoteza mvuto Kabisa kutokana na kukosa kiki kwenye vyombo vya habari na baadhi ya marafiki zake kuanza kumkimbia.

Inasemekana ujio wa Makonda Mwanza ilikuwa ni Kwa ajili ya kuweka mambo sawa na Mkurugenzi wa Star Tv ndugu Antony Dialo, ambaye walikutana Kwa siri na Mkurugenzi huyo.

Imebainika kuwa Makonda alikuja Kwa malengo matatu la kwanza ni kujaribu kuweka mambo sawa na Dialo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama mkoa wa Mwanza ambaye anaunga mkono tamko la Jukwaa la wahariri kutokurusha habari za Makonda.

Imefahamika katika lengo la kwanza walimtisha mzee Dialo kama atashindwa kufanya kazi pamoja na Makonda watamuondoa mara moja ndani ya chama Kwa kumvua nyadhifa zote za uongozi.

Jambo la pili tulilodokezwa ni kwamba Hali ya uchumi ni mbaya katika kampuni ya Sahara iliyopelekea MD wake ndugu Sammy Nyala kuondoka kutokana kushuka sana kibiashara katika kampuni hiyo inayomilikiwa na Mzee Dialo siku hizi hawafanyi vizuri kibiashara na ukichangia na Deni la zaidi ya shilingi bilioni nne kutoka TRA.

Makonda alimuhaidi atamsaidia kuongea na mamlaka za juu kumpatia TAX HOLIDAY endapo atakubali kufanya naye kazi na kurusha taarifa zake Yeye Makonda.

Makonda katika safari ya Mwanza aliambatana na Ray pamoja JB ambaye hivi karibuni amemteua kuwa mhamasishaji wa wasanii katika kusambaza taarifa za Makonda mitandaoni.

Katika Siku ya Pili pale Malaika Resort Makonda alisikika akiongea kwenye simu na mtu ambaye alionekana kumtii sana ndani ya chama na kumpatia taarifa juu ya adhima ya Antony Dialo kuifikiria zaidi nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.

Jioni walipokutana Katika hotel ya Malaika Resort Majira ya Jioni Gari ya mzee Dialo ilifika, Makonda na Dialo walizungumza tena Kwa kirefu na kupanga jinsi gani wataweza kufanya kazi pamoja mojawapo ni kujisafisha kuhusu uvamizi wa Clouds Media ili kuizima ishu ya Uvamizi mipango ipangwe haikuwa ishu ya Gwajima bali tetesi za uwepo wa Dawa za kulevya rejea tamko aliloliandika Mzee Dialo.

Pia wakati wanazungumza na Mzee Dialo, Makonda alimjulisha kuwa tayari mipango ya kumuandalia nafasi ya Ukatibu mkuu ndani ya chama CCM Taifa imekwishaiva hivyo asiwe na wasiwasi pale Mkutano Mkuu Taifa utakapoitishwa muda wowote kuanzia sasa kumjadili Nape Nnauye basi ndiyo utakuwa muda muafaka wa jambo lake kuingizwa kwenye ajenda ya Mkutano Mkuu.

Chanzo kilidokeza kuwa Makonda alimuhaidi kumpatia Dialo Kiasi cha fedha ambacho atachukua kutoka kwa Wafanyabiashara marafiki zake wa Dar kwa ajili ya kumsaidia kulipa madeni na Mishahara kwa wafanyakazi wake Kwa mwezi wa 3 hadi wa 6 kwani inasemeka wafanyakazi hao wengi wao bado hawajalipwa Mishahara yao isipokuwa posho ndogo zilizopo Kwa ajili ya kujikimu kwa kuwa hali ya Uchumi kwenye kampuni hiyo ni Mbaya sana.

Kingine Makonda amehaidi kumsaidia Anthony Dialo kwa kumpatia ulinzi kwa kipindi Chote watakachokuwa wanafanya kazi pamoja kumlinda na hasira kutoka Kwa waandishi wasio unga mkono harakati za Makonda.

Baada ya kumaliza Maongezi IRI na Makonda inasemekana Dialo aliwaita wafanyakazi wake na kujadiliana wajipange jinsi gani ya kufanya kazi na Makonda kitu ambacho Wafanyakazi wametafsiri kuwa ni ishara mbaya kwa kituo hicho cha habari hasa ikichangiwa na uhusiano mbovu na dharau alizozionyesha Makonda kipindi cha nyuma kwa wafanyakazi wa kituo hicho.

Unaambiwa Baada ya Antony Dialo kumaliza kile kikao aliwashinikiza wafanyakazi wake kuwa asiyetaka aondoke akatafute kazi sehemu nyingine Kwa kuwa tayari ajenda pekee alizobaki nazo kwa siri kichwani ni Ukatibu Mkuu wa chama na kusamehewa madeni anayodaiwa.

Kwa Taarifa zilizopo mzee Dialo alikwenda South Africa haijulikani alikwenda kufanya nini, nitaendelea kuwajuza kwa kadri iwezekanavyo juu ya ziara hiyo na kila kitu kitakuwa wazi.

Hii sasa ni kufuru kama Paul Makonda ataendelea kutumia ukaribu wake na Mamlaka za juu ili tu aendelee kujinufaisha Kwa maslahi yake binafsi.
 
MBONA TAARIFA ZA BABA YAKO KUFUMANIWA NA MALAYA HUJAANDIKA MAMBO YA WATU NA BIASHARA ZAO YANAKUHUSU NINI? KAMA HUNA KAZI KALALE UNAANDIKA MAMBO MAREFU KUMBE UMBEYA UNAKUSUMBUA SASA TUAMBIE KESI YA BABA YAKO IMEKWISHA MAANA UNADHANI HATUKUJUI? SAFARI YA MFANYA BIASHARA ANTHON DIALO KWENDA SA NAYO UNASEMA UTATUJUZA ILI IWEJE NANI KAKUTUMA UTUJUZE? INA FAIDA GANI KWA JF MPAKA UTUJUZE? TAFUTA KAZI YA KUFANYA SIYO KUFUATILIA MAISHA YA WATU UTAKUFA SIKU SI ZAKO MJINGA WEWE.
Hasira yako inasaidia kutusadikisha kuwa lipo jambo la ukweli katika taarifa hii. Wewe tuandikie hizo taarifa za baba yake, yeye katuandikia za Bashite.
 
UWAZI WA MAKONDA STAR TV SIRI HII HAPA NJE NDANI!

Baada ya Paul Makonda hali yake kisiasa kuchafuka kutokana na matendo yake hivi karibuni alikuja Mwanza na kubaini kuwa kwa sasa amepoteza mvuto Kabisa kutokana na kukosa kiki kwenye vyombo vya habari na baadhi ya marafiki zake kuanza kumkimbia.

Inasemekana ujio wa Makonda Mwanza ilikuwa ni Kwa ajili ya kuweka mambo sawa na Mkurugenzi wa Star Tv ndugu Antony Dialo, ambaye walikutana Kwa siri na Mkurugenzi huyo.

Imebainika kuwa Makonda alikuja Kwa malengo matatu la kwanza ni kujaribu kuweka mambo sawa na Dialo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama mkoa wa Mwanza ambaye anaunga mkono tamko la Jukwaa la wahariri kutokurusha habari za Makonda.

Imefahamika katika lengo la kwanza walimtisha mzee Dialo kama atashindwa kufanya kazi pamoja na Makonda watamuondoa mara moja ndani ya chama Kwa kumvua nyadhifa zote za uongozi.

Jambo la pili tulilodokezwa ni kwamba Hali ya uchumi ni mbaya katika kampuni ya Sahara iliyopelekea MD wake ndugu Sammy Nyala kuondoka kutokana kushuka sana kibiashara katika kampuni hiyo inayomilikiwa na Mzee Dialo siku hizi hawafanyi vizuri kibiashara na ukichangia na Deni la zaidi ya shilingi bilioni nne kutoka TRA.

Makonda alimuhaidi atamsaidia kuongea na mamlaka za juu kumpatia TAX HOLIDAY endapo atakubali kufanya naye kazi na kurusha taarifa zake Yeye Makonda.

Makonda katika safari ya Mwanza aliambatana na Ray pamoja JB ambaye hivi karibuni amemteua kuwa mhamasishaji wa wasanii katika kusambaza taarifa za Makonda mitandaoni.

Katika Siku ya Pili pale Malaika Resort Makonda alisikika akiongea kwenye simu na mtu ambaye alionekana kumtii sana ndani ya chama na kumpatia taarifa juu ya adhima ya Antony Dialo kuifikiria zaidi nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.

Jioni walipokutana Katika hotel ya Malaika Resort Majira ya Jioni Gari ya mzee Dialo ilifika, Makonda na Dialo walizungumza tena Kwa kirefu na kupanga jinsi gani wataweza kufanya kazi pamoja mojawapo ni kujisafisha kuhusu uvamizi wa Clouds Media ili kuizima ishu ya Uvamizi mipango ipangwe haikuwa ishu ya Gwajima bali tetesi za uwepo wa Dawa za kulevya rejea tamko aliloliandika Mzee Dialo.

Pia wakati wanazungumza na Mzee Dialo, Makonda alimjulisha kuwa tayari mipango ya kumuandalia nafasi ya Ukatibu mkuu ndani ya chama CCM Taifa imekwishaiva hivyo asiwe na wasiwasi pale Mkutano Mkuu Taifa utakapoitishwa muda wowote kuanzia sasa kumjadili Nape Nnauye basi ndiyo utakuwa muda muafaka wa jambo lake kuingizwa kwenye ajenda ya Mkutano Mkuu.

Chanzo kilidokeza kuwa Makonda alimuhaidi kumpatia Dialo Kiasi cha fedha ambacho atachukua kutoka kwa Wafanyabiashara marafiki zake wa Dar kwa ajili ya kumsaidia kulipa madeni na Mishahara kwa wafanyakazi wake Kwa mwezi wa 3 hadi wa 6 kwani inasemeka wafanyakazi hao wengi wao bado hawajalipwa Mishahara yao isipokuwa posho ndogo zilizopo Kwa ajili ya kujikimu kwa kuwa hali ya Uchumi kwenye kampuni hiyo ni Mbaya sana.

Kingine Makonda amehaidi kumsaidia Anthony Dialo kwa kumpatia ulinzi kwa kipindi Chote watakachokuwa wanafanya kazi pamoja kumlinda na hasira kutoka Kwa waandishi wasio unga mkono harakati za Makonda.

Baada ya kumaliza Maongezi na na Makonda inasemekana Dialo aliwaita wafanyakazi wake na kujadiliana wajipange jinsi gani ya kufanya kazi na Makonda kitu ambacho Wafanyakazi wametafsiri kuwa ni ishara mbaya kwa kituo hicho cha habari hasa ikichangiwa na uhusiano mbovu na dharau alizozionyesha Makonda kipindi cha nyuma kwa wafanyakazi wa kituo hicho.

Unaambiwa Baada ya Antony Dialo kumaliza kile kikao aliwashinikiza wafanyakazi wake kuwa asiyetaka aondoke akatafute kazi sehemu nyingine Kwa kuwa tayari ajenda pekee alizobaki nazo kwa siri kichwani ni Ukatibu Mkuu wa chama na kusamehewa madeni anayodaiwa.

Kwa Taarifa zilizopo mzee Dialo alikwenda South Africa haijulikani alikwenda kufanya nini, nitaendelea kuwajuza kwa kadri iwezekanavyo juu ya ziara hiyo na kila kitu kitakuwa wazi.

Hii sasa ni kufuru kama Paul Makonda ataendelea kutumia ukaribu wake na Mamlaka za juu ili tu aendelee kujinufaisha Kwa maslahi yake binafsi.
Acha umburura Ccm haitowagi vyeo kihivyo na istishe makonda hana uwezo wa kuzungumzia maswala ya chama. Wajumbe wa kamati kuu ndo waamuzi sio MTU mmoja kama kwenu mbowe akimpitisha mtu basi ndo huyo huyo.
 
Inasemekana aliwakataa
Wahaya
Wachaga
Wanyakyusa
Hao wote kwa kubebana.....ila akawakataa Wasukuma kwa kuwa ni kabila kubwa akitokea kiongokzi upande huo na akaamua kuwabeba watakuwa wao tu..........inasemekana lkn
Nitupie mawe nikajenge msingi
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Nikianza kusoma huu uzi naishia hapo kwenye sentensi ya "...kisiaisa..." na kucheka

Then nachungulia vijineno

Halafu nacheka sana tena sana na kuona ni mmeamua kuendelea kutunga uongo ili muwavutie hao watu wenu wanaipenda kufata mkumbo na mnawapata haswaaaaa

Utungaji huu mbona hamkuuandika kabla haijatangazwa kuwa atakuwa kwenye kipindi cha Star TV, kama alitenda hayo yote!?

Makonda oyeeeeeee

Kila uzi wake humu unasomwa sana na wengi fans wake mioyoni mwenu mnachangia ila kiufitina kulinda ID zenu baada ya kushushulika kwenye vyeti feki mlivyorushiwa na habari za uongo kabla

Makonda oyeeeeeeeeeeeeeee

Jembe la Taifa

Kesho asubuhi kumekucha, mnaramani muwe na uwezo wa kuzima mitambo ya Star TV ha ha ha haaaaaaa
Usiogope kuwekwa kwenye orodha ya wauza sembe.
 
Napata tabu sana kuuamini huu uzi moja kwa moja, sjui kwanini. Hayo mazungumzo ya siri kati ya Makonda na Dialo kayaskiaje ilihali kasema walikuwa wawili?. Duu hiyo inshu ya kupewa ukatibu sasa ndio kaniacha hoi, Ccm ni taasisi kubwa, hata kama ni Manyumbu ukatibu hauwezi kuuzwa kijinga hivyo, Tena na Makonda? Hapana nakataa, mleta Uzi mi nipo neutral ila nimeshindwa kuelewa na kuamini
Shybubu siri huwa ni ya mtu mmoja tu. Ikiingia kwa watu wawili na zaidi sio siri tena. Ukiongea siri hapa, huyo uliyeongea naye hafungwi kujadili na mtu mwingine ambaye siajabu anamuamini zaidi kuliko wewe, then it goes that way.
 
Naitamani sana siku watanzania tutakapo anza kujadili issues na sio kujadili gossips na umbea umbea tu usio kuwa na tija
We have to change guys
Tija ipo. Tunaambiwa huyu bwana atakuwa katibu mkuu wa chama chao. Uhai wa chama utakuwaje?
 
Usiogope kuwekwa kwenye orodha ya wauza sembe.

Ha ha ha haaaa

Naona mmepigwa mabuti ya kuwabana hadi hamu hana, mnaishia iutunga uongo kila baada ya hatua zake zinazowaacha kwenye mataa.

Makonda ni hakunaga

Bonge la kiongozi.

Anazidi kupaaaaaaaa

Tukutane kesho saa moja asubuhi.
 
Kaka yako kabanwa huyo. Mpe ushauri uliokwenda shule ajikwamue hapo badala ya kumpaka mafuta ya samli.
 
Back
Top Bottom