Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Kwa bunduki hapana...unaweza kuuawa bure...raia watakuita jambazi
 
Anaenidai ategemee muamala leo
 
Umeshauri vizuri mkuu..
Naomba Mungu anipe namna maana sina ninachofanya zaidi ya mipango ya visasi.
Mungu anipe namna
 
Duh😳
 
Nenda usukumani umalize kazi. Huyo Boss awe chizi la hapohapo kwenye hilo jengo iwe fundisho kwa wote
 
Nilikuwa na-chart na jamaa wa hiyo Kampuni,wamenijibu hivi kuhusiana na suala la muanzisha UziView attachment 2094807
Huu ni upuuzi, mkataba si unakuwa na copy mbili , moja kwa ajili ya kila upande unao-sign, sasa unapomwambia mtu asubmit mkataba wake wa mwanzo halafu umwandikie tena mkataba mwingine kwa ajili ya kumpa mkopo wenye masharti makubwa (hasa riba) maana yake unataka kumtapeli kwa kumpa masharti mapya kwenye mkataba mpya, kitu ambacho hakiwezekani. Inatakiwa ule ule mkataba wa mwanzo wenye masharti yale yale ya mwanzo uwe honored.
 
kama umeshindwa kwenda kwenye makampuni ya uuzaji wa magari yanayokubalika...ukienda kwa hawa wengine ni mwendo wa Pay and Pick... tofauti na hapo...kausha...

Mbongo hutakiwa kumuachia hela yako ukampa mgongo lazima ulie..kifupi hatuachi hela nyuma.

Hata hizi showroom za kibongo, lipia gari chukua uondoke nalo, usiliache sijui naenda Mbagala mara oohh lazima uliwe..
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hii kubwa kuliko
 
Imerudi rudi vipi? Mliwatolea mkwaju au?
 
nilivyoelewa ni mkataba wa kazini..ili apewe mkopo
Hilo sharti la kuleta mkataba wa kazini lilikuwepo kwenye masharti ya mkataba wa mwanzo? Au ni sharti jipya ambalo mtu anajitungia tu? Maana msingi wa jama kudai katapeliwa ni kupewa masharti mapya mabayo hayakuwepo kwenye mkataba
 
Aiseeeeeee!!!!! Daaah.....
 
Mimi nishafanya nao kazi watu kama hao. Na actually waliniletea gari ila ikawa ni model tofauti....

Nikaikataa hiyo gari na nikakomaa mpaka wakanilipa hela yangu... Wamelipa asilimia 98 bado asilimia mbili.

Hiyo 2 ndio wananisumbua sasa gear nayoenda nayo ni kubwa mno na mzigo watatema....

Ukiwa muoga watakusumbua sana hawa watu...
 
Watu kama nyinyi ndio mnasababisha utapeli na uonevu unaendelea, some people need to be made an example of
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…