May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Unapohitaji kutumia Kampuni yoyote ya huduma kwanza tafuta taarifa za kutosha.
Pili tumia Kampuni zenye muda mrefu maana kama wana matatizo wasingedumu kufanya hiyo kazi, kama sio kufilisika basi wangeshafikishana kwenye vyombo vya sheria na Wateja wao.
Huwezi kupelekwa kwenye vyombo vya sheria na Wateja zaidi ya kumi na bado ukaendelea kuwapo hapo hapo.