Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Mkuu hao jamaa ni ma pro..yaan wanafungua account fake insta or fb..wanachkua ofis posta..wanaweka samani ndan kila kitu yaan wanajiandaa.wanaajiri had watu tena weng wadada..yaan inakua ofis kamil ukienda unakuta wana kila kitu...wakishawakusanya watu wa kuwapiga pesa wakiwa weng...wanapotea mazima na wanasusa ofisi...ukienda pale central kushtaki askar wana hzo kesi zaid ya 100..so unabak kuzunguka tu na mpeleleZ..hahah..hyo niliandika uzi mwaka jana mwez wa 11..kuna mwana nae alipigwa huku na jamaa..vipo vikampun ving vya utapel hvyo na maara nying boss humwon..unakutana na wafanyakaz tu...na account number binafsi za boss na kampuni..hela inaingia kwa mtu binafsi....Wengine wanaitwa MAGARI RAHISI ni matapeli kama hao.
Nakushauri tafuta wakili file kesi. Kuna form unajaza ya mahakama kuu hao ndani ya mwezi wasipokulipa anatafutwa broker wanauza mali za kampuni mpaka hela yako irudi na kampuni inafungiwa.View attachment 2094557
Sent using Jamii Forums mobile app