Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahaha blaza unataka tiketi ya ndege kiujanja kama una nia ya kusaidia panda kimbinyiko kamsidie jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahaha blaza unataka tiketi ya ndege kiujanja kama una nia ya kusaidia panda kimbinyiko kamsidie jamaa
Hata mimi nimewafollow insta, na kuna mtu nilimwonyesha alikuwa nahitaji gari ngoja nimpe taarifa asije jichanganya maana alitaka nae alipe nusu nusu ndani ya mwakaKumbe ndo wanapokamatwa? Jamaa wanajua kucheza na akili za watu[emoji1][emoji1]
Kidogo nimuulize mleta mada kuwa SBT na Befoward hakuwaona? Kumbe alifata kamserereko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Asante.No offence, agreed.
Ingawa mtoa mada hajabainisha facts za kutosha ila nitajaribu kumuongoza kwa namna ninayoijua kwa kumpa open open ended suggestions.
Bilashaka alivitoa pesa nusu waliandikishiana (express term), if not, hata barua aliyoiandika wakamjibu kwa kutaka kumpa makubaliano mapya ni kielelezo tosha pia kwamba walishapokea pesa kutoka kwa mteja wao (implied term).
In law, there is a doctrine of estoppel, kwamba baada ya makubaliano kufanyika (expressly or impliedly), hakuna upande unaruhusiwa kurudi nyuma na kutengeneza makubaliano mapya isipokuwa kwa maridhiano ya pande zote mbili.
Aanze kwa kuandika demand notice and intention to sue, which is mandatory before commencing a civil suit, asiandike mwenyewe aende akaandikiwe kitaalamu na Wakili, awape labda siku 14 au zaidi kwa namna atakavyoona inafaa, wakishindwa kutekeleza kama walivyokubaliana ndiyo afungue kesi Mahakamani.
Kwa nature ya kesi ilivyo, atashinda. Lkn kwa uzoefu wangu, Makampuni mengi yakiandikiwa demand notice huwa yanamuita mteja kwenye meza ya mazungumzo.
I humbly submit. Ushauri nilioutoa hapa bure ningekuwa ofisini ningepata 10K ila hii ni sadaka yangu kwenu wana JF. Siku yenu na ikawe njema wakuu.
Hizi ni za low minded people
Daah,haya hivi vijikampuni vya mifukoni ni hatari, yaani hawa wanaharibia mpk wenzao kazi, wote wataanza kuonekana ni wahuniView attachment 2094407
Hawa jamaa wana ofisi zao posta..wanadai wana agiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia....binafsi nimeagiza gari miezi ya tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo nikienda ofisini naambiwa boss katoka nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye mkataba wa awali haukuwepo mwishowe wananiambia niende popote...sasa mimi ntaenda huko popote na nitawaterea mrejesho kutoka huko popote ....sambazieni watu wasije wakapigwa hela ni ngumu kwa sasa
Wala haihitaji mtaji mkubwa sana. Kifupi wanakupiga riba kubwa.Na mimi nilikuwa najiuliza, hawa watu wana pesa kiasi gani kiasi kwamba kila mtu anaweza kuagza gari lolote akalipa nusu na kuimaliza pesa iliobaki ndani ya mwaka
Umeambiwa kwenye kuibiwa sio kwenye hayo mengineMimi mwana jf nimeibiwaje mkuu wakati anaagiza gari hakutuambia? Au akipata gari yake Wana jf wote pia tutakuwa temepata magari?
Nilishaletaga uzi hapa kutaadharisha huu utapeli na watu walisoma uzi kimasihara...huo mtandao wa utapel umekithir hapo posta..na watu wanapigwa balaa..ila ukichunguza ni uzembe na ujinga...wa anaepigwa...jamaa wanakodi ofis kabisa..had lesen..had wafanyakaz..page mitandaon etc...utasema ni kwl..ila misho wa siku unapigwa...na polis pale central ukienda utazungushwa tuu..wamewachoka hao jamaa..kuna kesi hzo kama 100 hivView attachment 2094407
Hawa jamaa wana ofisi zao posta..wanadai wana agiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia....binafsi nimeagiza gari miezi ya tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo nikienda ofisini naambiwa boss katoka nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye mkataba wa awali haukuwepo mwishowe wananiambia niende popote...sasa mimi ntaenda huko popote na nitawaterea mrejesho kutoka huko popote ....sambazieni watu wasije wakapigwa hela ni ngumu kwa sasa
View attachment 2094407
Hawa jamaa wana ofisi zao posta..wanadai wana agiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia....binafsi nimeagiza gari miezi ya tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo nikienda ofisini naambiwa boss katoka nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye mkataba wa awali haukuwepo mwishowe wananiambia niende popote...sasa mimi ntaenda huko popote na nitawaterea mrejesho kutoka huko popote ....sambazieni watu wasije wakapigwa hela ni ngumu kwa sasa
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Kuna mkataba na nililipia Bank kama unaweza kazi njoo pm maana wanaonekana ni wahuni sasa tu deal nao kihuni tu
Mkuu huyu jamaa kashindwa kuweka wazi,hicho kikampuni kama sio mtu wa tamaa huwezi kufanya nao kazi.Sometimes mnayataka wenyewe. Kuna well established companies kama BF,SBT,Trust sasa kwanini uende kwenye vikampuni uchwara vya Instagram?
Halaf ..wanachofanya..wanatumia account ambazo znafanana na account halali ..yaan kunakua na kampun halal kabisa ambayo inafanya hyo kaz so nao wanatengeneza na ku copy kila kitu na hyo account ...wakishapiga hela wanafuta hyo account fake..wew ukiwatafta u awapata wale wenye kampun real..unaanza lalamika..wao wanafuta yao...yaan wanabadil jina labda kuongeza nukta tu kwenye jina la kwwl..so kua makin..umepigwa mkuu..nilishawai weka uz hapa wa hao jamaa na wengneMwanajf mmoja akiibiwa ni sawa na tumeibiwa wote ngoja kwanza twende kwenye page yao tukakichafue tuone wanatokea wapi
Wengine wanaitwa MAGARI RAHISI ni matapeli kama hao.
Nakushauri tafuta wakili file kesi. Kuna form unajaza ya mahakama kuu hao ndani ya mwezi wasipokulipa anatafutwa broker wanauza mali za kampuni mpaka hela yako irudi na kampuni inafungiwa.View attachment 2094557