Nina rafiki aliienda mgodin na nguo alizovaa tu , saiv ana nyumba mbili na kagari ka kuzugiaUzuri waujenzi hii milioni 50 unaikusanya taratibu, ukipata milioni 3 unanunua matofali. Huwezi kwenda Chunya na milioni tatu.
Nilikuwa nataka location ambayo unasemea mradi wako una shine , ili nijue bei za kiwanja huko,Kwamba ni ngumu kupangisha chumba cha master bedroom kwa laki moja??????
halafu nani kakuambia Mimi nazungumzia maeneo ya huko kibamba ulipopanga boss,
Uko vyumba Kodi zake si za kawaida tu Kama mbagala
Sawa mkuu, haya we tuache sisi tuzike pesa, we mjanja subiri uje kujenga nyumba ya ndoto zako,Nauliza bei ya kiwanja kwa sababu ni moja ya basic cost zinazo determine faida au hasara ya nyumba zako.
Unless una pesa zisizo na hesabu , kibiashara kila item ni unit cost na lazima ujumlishe costs zote unapotaka kupiga hesabu za faida .
Ukisha nunua kiwanja kwa mil 20 halafu ukaweka na property pale juu ya mil 60 , halafu unijie hesabu zako za kodi ya milioni 10 kwa mwaka nitakuona hujui hesabu
By the way katika mahesabu yako wala sioni sehemu ya kodi unazolipa , which means unainjoi faida bila kulipa kodi , Tra wakija kulikazia eneo hilo ndo utanielewa namaanisha nini
dizaini yako wengi uja kujuta baadae sanaa,Nauliza bei ya kiwanja kwa sababu ni moja ya basic cost zinazo determine faida au hasara ya nyumba zako.
Unless una pesa zisizo na hesabu , kibiashara kila item ni unit cost na lazima ujumlishe costs zote unapotaka kupiga hesabu za faida .
Ukisha nunua kiwanja kwa mil 20 halafu ukaweka na property pale juu ya mil 60 , halafu unijie hesabu zako za kodi ya milioni 10 kwa mwaka nitakuona hujui hesabu
By the way katika mahesabu yako wala sioni sehemu ya kodi unazolipa , which means unainjoi faida bila kulipa kodi , Tra wakija kulikazia eneo hilo ndo utanielewa namaanisha nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] mibajaji ilivyojazana kitaa uongwze rundo 18?[emoji2223]! Mayb
Yaan hata Mimi zamani nilikuwa na ujinga na ujuaji Kama wakoNilikuwa nataka location ambayo unasemea mradi wako una shine , ili nijue bei za kiwanja huko,
Kibamba na mbezi nimetoa mfano , huko ndioo unaweza kujenga property za 70 mil ,za staili unayosemea ukijumlisha na bei ya kiwanja ,
Maeneo yote uliyosemea kwenye post yako pale juu sio cheap , unless uwe na kiwanja cha kupewa
aisee,Sasa wewe unasubiri nini kwenda uko bossNina rafiki aliienda mgodin na nguo alizovaa tu , saiv ana nyumba mbili na kagari ka kuzugia
Inawezekana
Mpe idea mkuu tuko hapa kujenga na si kubomoaYaan hata Mimi zamani nilikuwa na ujinga na ujuaji Kama wako
Dunia itampa Idea mkuu,Mpe idea mkuu tuko hapa kujenga na si kubomoa
Wala tusitiane unyonge na visasi,, hatujuani na hii ni forum tuSawa mkuu, haya we tuache sisi tuzike pesa, we mjanja subiri uje kujenga nyumba ya ndoto zako,
Sisi tutaendelea kuzika milioni sitini ardhini, makusanyo kwa mwaka milioni 7,
Mbona unaniombea mabalaa ? We mganga?? Hahaaadizaini yako wengi uja kujuta baadae sanaa,
Amepanic utafikiri hizo nyumba amejenga peke yake mjini hapaMpe idea mkuu tuko hapa kujenga na si kubomoa
Huyu jamaa yeye anamilik malori ya mizigo, so hiyo miaka aliyotumia n sahihi, anayajua balaaa utadhan aliyatengeneza yeye, i think kuna watu pale swiden yanapotengenezwa Hawana uelewa alionao yeye kwenye products zao hizo hizoBinafsi mm nilishindwa stick na biashara moja...
Yaan itakuletea umaskini tu!..siwezi kbs
Atatupa idea..nna kakiwanja kerege na mm tuone inakuwajeAmepanic utafikiri hizo nyumba amejenga peke yake mjini hapa
Aya binti, baki na unachokiamini,Wala tusitiane unyonge na visasi,, hatujuani na hii ni forum tu
60 millions unazika ili upate faida ya 7 millions kwa mwaka , ambayo kuna uwezekano hata kodi hujalipa , ni matumizi mabaya sana ya pesa zako .
Nice.....Huyu jamaa yeye anamilik malori ya mizigo, so hiyo miaka aliyotumia n sahihi, anayajua balaaa utadhan aliyatengeneza yeye, i think kuna watu pale swiden yanapotengenezwa Hawana uelewa alionao yeye kwenye products zao hizo hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lodge hata mie naifikiria sana kama retirement plan yangu baada ya kuhangaika sana ,
Tatizo wife !! Na ulokole wake , anazingua kweli na project za kutengeneza dhambi
Swala la kufeli wewe biashara haimaanishi kuwa kila mtu atafeli ,Dunia itampa Idea mkuu,
Mi mwaka 2000 nilikuwa mjuaji nikaingia kwenye biashara ya daladala, Tena mahesabu ya kwenye daftari na u-much know ndio uliniingiza uko, nilijuta,dunia ilinifunza