Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena