Uwekezaji wa Dp World waanza kuiletea faida Taifa letu. Tril 1.5 zaokolewa. Tulikuwa tunapata hasara kubwa. 2025 Wapinzani msithubuku kuweka wagombea

Uwekezaji wa Dp World waanza kuiletea faida Taifa letu. Tril 1.5 zaokolewa. Tulikuwa tunapata hasara kubwa. 2025 Wapinzani msithubuku kuweka wagombea

Hii sio kampeni wala porojo.👇View attachment 3074935
DP World wafanye uwekezaji wa kutosha, bado meli zinatumiasiku nyingi baharini kusubiri ili zishushe mzigo. Majuzi tu hapo bandari ya Mombasa ilizorota kutokana na maandamano ila kwa sasa iko katika full capacity.
Pamoja na ongezeko la fedha, bado kuna mengi tunapaswa kuboresha katika bandari zetu.
 
Mkuu hii loss ilikua kwa Tanzania. Ama kiujumla duniani (dpworld)?
1000032152.jpg
 
Back
Top Bottom