Uwekezaji wa Dp World waanza kuiletea faida Taifa letu. Tril 1.5 zaokolewa. Tulikuwa tunapata hasara kubwa. 2025 Wapinzani msithubuku kuweka wagombea

Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Kwa akili yako hiyo hata mtu akikuambia mimi ndiye baba yako halisi utaamini.
 
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Wewe ni Mchengerwa?
 
Watanzania sisi wajinga sana,,DO alichofanya nikununua cranes an kuwa na ghala la vipuri basi ,,sasa tuambiwe. Ni kwanini TPA kununua vitu hivyo ili kurahisisha Kasi ya utendaji?
 
Kama hizo pesa zomepatina ndani ya miezi minne inamaana gawio la serikali na Kodi na mapato mengine yatakuwa ni kama billion 750 kwa miezi minne.Kama nihivyo nitahamia CCM mchana kweupe..ila waweke data wazi
 
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Mkataba unasemaje? Isijekuwa hicho ni peanut tu. DPWorld kaondoka na ngapi kwa muda huo?
 
Kama hizo pesa zomepatina ndani ya miezi minne inamaana gawio la serikali na Kodi na mapato mengine yatakuwa ni kama billion 750 kwa miezi minne.Kama nihivyo nitahamia CCM mchana kweupe..ila waweke data wazi
Tumia akili kuchambua mambo.
 
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Mkurugenzi wa TPA anateuliwa asiye faa, au anaingiliwa utendeji wake na hao hao wanaotaka THA iuzwe Kwa DP weldi . Sasa hapo unategemea nini. Si ni kuuzwa tu Sisi na vitukuu vyetu .
 
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Yes haya ndio mambo tuliokua tunataka
Viva Tanzania Viva madam president
 
Huku mtaani ni kugumu pesa hakuna, mzunguko umesimama,

Hizo hela za dp sijui za tra kwani huwa zinatunzwa wapi ?
 
Back
Top Bottom