Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #41
Ni wapuuziTrilioni 1.5 ndani ya miezi 4..halafu akina Kalamu na Erthyrocytes kutwa "nye nye nyeee" [emoji1787][emoji1787]
Mh.Rais Samia na 4R's[emoji2956][emoji7]
#Nchi Kwanza[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa akili yako hiyo hata mtu akikuambia mimi ndiye baba yako halisi utaamini.Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Wewe ni Mchengerwa?Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Watanzania sisi wajinga sana,,DO alichofanya nikununua cranes an kuwa na ghala la vipuri basi ,,sasa tuambiwe. Ni kwanini TPA kununua vitu hivyo ili kurahisisha Kasi ya utendaji?Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Mkataba unasemaje? Isijekuwa hicho ni peanut tu. DPWorld kaondoka na ngapi kwa muda huo?Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Hoja hapa ni hasara ya tril 1.5 tunayoiokoaMkataba unasemaje? Isijekuwa hicho ni peanut tu. DPWorld kaondoka na ngapi kwa muda huo?
Tumia akili kuchambua mambo.Kama hizo pesa zomepatina ndani ya miezi minne inamaana gawio la serikali na Kodi na mapato mengine yatakuwa ni kama billion 750 kwa miezi minne.Kama nihivyo nitahamia CCM mchana kweupe..ila waweke data wazi
Mkurugenzi wa TPA anateuliwa asiye faa, au anaingiliwa utendeji wake na hao hao wanaotaka THA iuzwe Kwa DP weldi . Sasa hapo unategemea nini. Si ni kuuzwa tu Sisi na vitukuu vyetu .Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Think big wewe BWABWAUpuuzi
Ni udanganyifu tupuHizo hela zipo wapi????
Yes haya ndio mambo tuliokua tunatakaSerikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935
Sawa wawo wamepata hasara sie tumepata faida
Ubaya uko wapi hapoMavi matupu haya.
Sema imeokoaje?Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
View attachment 3074935