Kwisha habari nilienda huko kuonyeshwa kiwanja cha 5M kwa 500M² kilikuwa huko ndanindani nilijilaumu kuchelwa kuchukua hatua mapema😭😭😭Yeah, na hiyo bagamoyo kuanzia gari za Arusha na Tanga zianze kupita kule basi ndio imezidi kuwa ghari, mapinga zamani ilikua viwanja bei chee ila sasa hivi sidhani kama hata viwanja venyewe vipo pale😅😅😅