Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

Sana yani... Unajua kibaha zamani watu walikua wanapaona mbali ila zile barabara zilipoongezwa ni kama ile distance imepungua coz watu wanateleza tu kwa maana zile foleni za ajabu ajabu hazipo, plus mwendokasi ndio kabisa shida ya usafiri imepunguzwa na kufanywa kuwa rahisi hata kwa mtu kutoka katikati ya mji kikazi kurudi zake home kulala.

Sasa hivi njia ya bagamoyo haishikiki na huko kibaha nako hakushikiki vile vile.
Ngoja tukawekeze aisee unavyosema ni sahihi Sasa hivi kufika kibaha ni fasta tu
 
Jiji limepanuka balaa balaaa.Magwepande huko halmashauri ya Kino wameanza kuuza viwanja vya kupima nendeni mkajikadirie kulingana na urefu wa kamba zenu🤗🤗🤗
 
Kuna watu walihamishwa jangwani kisa mafuriko na kupelekwa huku ila walipadharau kisa mapori ila sasa hivi ukienda utabaki kushika mdomo tu, watu wanapanda hizo nyumba ni balaa tu😅😅😅... Kama ilivyokuaga madale zamani au mbweni.
 
Yeah uko sahihi mkuu, kuchelewa chelewa siku unajikuta unaishia kugombania viwanja huko ubena🤣🤣🤣
Mimi hela ya kuzika sina nimeweka nadhiri ya kulimbikiza maviwanja baadae niuze nije nitoe vibanda kadhaa vya kupangisha🤝
 
Ngoja tukawekeze aisee unavyosema ni sahihi Sasa hivi kufika kibaha ni fasta tu
Yeah, yaani kibaha imefungana na mbezi for now... Huoni zamani watu walikua wanachukua viwanja kibamba na kiluvya ila kuna watu walidharau kwakuona mbali, ila check now tuko hapa tunaijadili kibaha😅😅😅
 
Kuna watu walihamishwa jangwani kisa mafuriko na kupelekwa huku ila walipadharau kisa mapori ila sasa hivi ukienda utabaki kushika mdomo tu, watu wanapanda hizo nyumba ni balaa tu😅😅😅... Kama ilivyokuaga madale zamani au mbweni.
Awamu hii nyumba hazijengwi ni kuotesha na kumwagili😂😂😂😂

Watu wanapesa bwana alaahh...
 
Mimi hela ya kuzika sina nimeweka nadhiri ya kulimbikiza maviwanja baadae niuze nije nitoe vibanda kadhaa vya kupangisha🤝
Ni biashara nzuri kwasababu iko na uhakika halafu Haina stress wala, thou inaingiza fedha kidogo kidogo ila ile cash flow yake ni ya uhakika sana.
 
Awamu hii nyumba hazijengwi ni kuotesha na kumwagili😂😂😂😂

Watu wanapesa bwana alaahh...
Yeah, ndio maana wanasema usiseme pesa hakuna ila sema Mimi sina pesa... 😅😅😅
 
📌Njia ya mkuranga vipi kuchele ???au bado wanakusini wamelala.Niliona kuna viwanja ila bei zake bado reasonable.
Huku viwanja bado bei chini sana... Halafu Mimi naonaga kama hakujakaa poa sana ndio maana sijawahi kuwa interested na huko ingawa huwa nafuatilia fatilia.
 
Wanakusini hawana hela.Njia ya kibaha inamnyororo wa thamani pia na bagamoyo nayo ni muundelezo wa tegeta na bunju.Huko ukipeleka hela huwezi jutia.
 
Back
Top Bottom