Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Ngoja tukawekeze aisee unavyosema ni sahihi Sasa hivi kufika kibaha ni fasta tuSana yani... Unajua kibaha zamani watu walikua wanapaona mbali ila zile barabara zilipoongezwa ni kama ile distance imepungua coz watu wanateleza tu kwa maana zile foleni za ajabu ajabu hazipo, plus mwendokasi ndio kabisa shida ya usafiri imepunguzwa na kufanywa kuwa rahisi hata kwa mtu kutoka katikati ya mji kikazi kurudi zake home kulala.
Sasa hivi njia ya bagamoyo haishikiki na huko kibaha nako hakushikiki vile vile.