Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

Ni kweli Ila kuna nyumba fulani naona zinajengwa sana Kenya kuna namna bati zinawekwa kwa nyumba za biashara inasaidia sana kwenye kupunguza gharama ingawa nahisi na zenyewe itakua zinasumbua hapo kwenye joto😅😅
Kenya wanabaridi huko Daslam na Kibaha ni joto kwa kwenda mbele.
 
Bado utapata mkuu wala usihofu.Ila in a long run for future competition pitiapitia page za madalili wa mbezi, kimara,goba huko instagram uone aina mpya ya ujenzi wa hivi vi min- aptment🤝🤝🤝

Usisahau kibaha ndipo mji unapohamia kwa sasa hivyo DEMAND YA USASA WA KUSHINDANA NA MAENEO KAMA GOBA,MBEZI,MADALE INAHITAJIKA KUVUTIA WATEJA ZAIDI👊
Kibaha muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki
 
uwekezaji 76m
Mapato 1,200.000*12=14,400,000 kwa mwaka.
ROI 19% kwa mwaka. Huu ni uwekezaji mzuri.
Kwa structure ya nyumba aliyojenga, UTT bado ungekuwa uwekezaji mzuri kwake. Kwa maoni yangu. Service ya nyumba baada ya kuondoka kwa wapangaji huwa ni kubwa sana, wapangaji wengi wa units ni wapangaji shikizi ambao wanajiandaa kujenga nyumba zao. Wabongo si wastaarabu inapokuwa kwenye kuondoka, labda pawepo na mkataba mkali unaemlazimisha afanye service ya nyumba wakati wa kuhama.
 
Mbona havishikiki mpaka sasa,nenda hapo kwa mfipa au pangani uone kama kuna viwanja vya milioni 3😂😂😂
aisee ni hatari yaani Jana nilizunguka kibaha sehemu nyingi naona Kila sehemu ujenzi tu ndio nikasema aisee huu mji unaenda kujaa
 
Yaani sio kwamathiasi tu iwe kongowe misugusugu miembe Saba kote kunajengeka kama mchwa anavyokula mbao
Makufuli angekuwepo atuwekee mwendokasi mpaka chalinze😂😂😂.Tukajiopolee maeneo huko tuwafukuzie mbali wazaramo na wakwere🤗
 
Yeah, unatakiwa ujipange mkuu... Miradi mingi ya viwanja kule inazidi kwenda maporini tu😅😅😅😅
Kibaha inakuja kuwa kaeneo ka kimkakati nyie subirini.

Kama unahela nenda upande ule wa kwa mfipa ndanindani huko karibu n kambi ya jeshi kuna maeneo yanauzwa 20×20 6M.
 
Inamaana maeneo ya rodi hayashikiki
Sana yani... Unajua kibaha zamani watu walikua wanapaona mbali ila zile barabara zilipoongezwa ni kama ile distance imepungua coz watu wanateleza tu kwa maana zile foleni za ajabu ajabu hazipo, plus mwendokasi ndio kabisa shida ya usafiri imepunguzwa na kufanywa kuwa rahisi hata kwa mtu kutoka katikati ya mji kikazi kurudi zake home kulala.

Sasa hivi njia ya bagamoyo haishikiki na huko kibaha nako hakushikiki vile vile.
 
Back
Top Bottom