uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Na wote hao ni Team MboweSalaam wakuu,
Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi
waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
Hao kenge 55,ni, project ya ccm kuivuluga chadema,Salaam wakuu,
Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi
waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
Hakuna kinachodumu milele.CCM itatawala milele daima kwa sisi tuliohai sasa
Zingatia neno "kwa sisi tulio hai kwa sasa" nadhan hapo unaweza kujipa miaka 100 mbele sote tutakua perishedHakuna kinachodumu milele.
Labda huelewi maana ya neno "milele".
Shallow reasoning. Not necessarily; people change their thinking "directions" with time, needs, and resources at that particular time1!Salaam wakuu,
Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi
waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
share your ideas with broad mind on reasoning.Shallow reasoning. Not necessarily; people change their thinking "directions" with time, needs, and resources at that particular time1!
Haya yote viongozi washughulike nayo kwa umakini mkubwa,uwepo wa chadema au niseme vyama vikuu vya upinzani si faida kwa vyama hivyo tuu bali ni faida kwa watanzania.Napendekeza watanzania tusio na maslahi na chama chochote cha siasa tuwaombee vyama vikuu vya upinzani wafanikiwe ndipo tutaiona Tanzania ya ukweli.Hata wale covid 19 ni mapandikizi matupu yale. bunge likimalizika muda wake wasiruhusiwe kuwa chadema, waende kwingine. ni dhahiri kundi la G55 ndani ya chadema ni mapandikizi hayo, wafukuzwe haraka sana
Wenye hasara ni sisi watanzania, ni kweli kila jambo lina ushindaniKwenye vyama vyote mapandikizi yamekuwamo, yamo na yataendelea kuwamo. Ndivyo nchi inavyoendeshwa.
Tuwaunge mkono hawa viongozi wapya watatufikisha kwenye lengo.Hao kenge 55,ni, project ya ccm kuivuluga chadema,
Nccr, cuf ziliuliwa from within, an enemy within, sasa hv Lisu kawashika vibaya, ni mishuzi tu inawatoka,
Timing iliyompa Tundu nafasi ya kuiongoza CHADEMA ndio inawasumbua wasaliti wote wa Nchi ya Tanzania.Imagine mambo ya msingi kuhusu mageuzi ya sheria kandamizi za uchaguzi ,Leo yanapingwa na kina Mrema,tena bila hata chembe ya aibu.Hata kama Wana njaa lakini Uzalendo kwao ni msamiati mgumu sana?Tuwaunge mkono hawa viongozi wapya watatufikisha kwenye lengo.
Nimemshangaa sana Mrema sikuwahi kutegemea kama watu kama yeye siku moja watageuka.
kweli njaa mbaya.
Wakati huu ni muda muafaka kwa watanzania wapenda maendeleo kufunguka macho,Timing iliyompa Tundu nafasi ya kuiongoza CHADEMA ndio inawasumbua wasaliti wote wa Nchi ya Tanzania.Imagine mambo ya msingi kuhusu mageuzi ya sheria kandamizi za uchaguzi ,Leo yanapingwa na kina Mrema,tena bila hata chembe ya aibu.Hata kama Wana njaa lakini Uzalendo kwao ni msamiati mgumu sana?
HIstoria ya Ushushushu ilianza na Augustine Mrema,Lipumba,Membe n.k..nafasi ya Mbowe imejulikana from 2015...kwa sasa hapahitajiki uelewa mkubwa kuwafahamu watu wote Waongo katika vyama vya upinzani.
Sote tunahitaji Amani Tanzania,lkn viashiria vya uvunjifu wa Amani ,sadly,vinatokea ndani ya Serikali.
Karibu Sisi Sote tutakuwa Wafu miaka 98 ijayo,lkn Tanzania inapaswa kuwepo...tusijizimie Data.