Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

Tundu akichomoka kwenye hiki kizingiti cha G55 atakuwa amekwiva sana.
 
Tundu akichomoka kwenye hiki kizingiti cha G55 atakuwa amekwiza sana.
Mpaka hapo ameishachomoka,akina na mrema walipokosea ni kuanza kumpigania mtu wa kabila lao.
wanapambana against watanzania wote wapenda mageuzi,watakwama asubuhi na mapema it's a matter of time
 
Huyu mzee nimemkubali,na anamaanisha anachokisema,big up sana.
Huku mitaani G55 wanakaangwa kwelikweli 😁😁😁
Mimi hupenda kunywa Tangawizi asubuhi, kijiwe kizima kilikuwa kinaniuliza kama na mimi nawalaani G55 nikasema mbali na kuwalaani nataka wafukuzwe kabisa nikaambiwa leo usilipe Tangawizi umepewa ya offer 😄😁

Mijadala ilikuwa ni yenye jazba sana na watu wanahasira sana na G55.

Ukweli ni kwamba Lissu amelishika Taifa, anakubalika sana sana.
 
Mpaka hapo ameishachomoka,akina na mrema walipokosea ni kuanza kumpigania mtu wa kabila lao.
wanapambana against watanzania wote wapenda mageuzi,watakwama asubuhi na mapema it's a matter of time
Sawa tusubiri tuone Tundu atawakabili vipi hao jamaa wanaonekana wamejipanga na wana pesa za kuvuruga uongozi wa Tundu.
 
Hao wanaojiita G55 ni wal wale kabla ya uchaguzi wa CHADEMA Januari, waliimba No Reform No Election! Leo wamegeuka ghafla! Kimsingi wengi wao walikuwa madalali wa siasa, kichinichini walipokea na kula fedha haramu kwa mfano kutoka wale "Covid 19" wengine hata wake zao walikuwa baadhi ya Covid 19 . Shock yao kubwa pamoja CCM ni kuchaguliwa kwa Mh. Tundu A. Lissu na Mh. John Heche kuiongoza CHADEMA. Walijaribu walivyoweza kutumia fedha nyingi lakini walishindwa kuharibu uchaguzi wa Chadema. Sasa wajue siasa za uadilifu zimepambazuka CHADEMA; hawana nafasi tena! Viti vya majimbo yao walioadiwa na CCM ili waivurige Chadema, wakavifutilie hukohuko CCM, na biashara ya kuwachuuza wanaChadema kama nyanya kila uchaguzi sasa basi! Kwetu ni No Reform No Election! Na tonetone tunaendeleza!
 
Achomoke mara ngapi? Wananchi wameshawapuuza hawa madalali wa kisiasa na wanaunga mkono kwa kiwango cha kutisha kampeni ya No Reforms No Election huko Kanda ya Kusini.
Huoni wapo kumfifisha huyo mwenyekiti? Mkiwachukulia kirahisi rahisi hao G55 nakuja na majibu rahisi rahisi ila hao wamejiandaa kuvuruga.
 
Hao wanaojiita G55 ni wal wale kabla ya uchaguzi wa CHADEMA Januari, waliimba No Reform No Election! Leo wamegeuka ghafla! Kimsingi wengi wao walikuwa madalali wa siasa, kichinichini walipokea na kula fedha haramu kwa mfano kutoka wale "Covid 19" wengine hata wake zao walikuwa baadhi ya Covid 19 . Shock yao kubwa pamoja CCM ni kuchaguliwa kwa Tundu A. Lissu na John Heche kuiongoza CHADEMA. Walijaribu walivyoweza kutumia fedha nyingi lakini walishindwa. Sasa wajue siasa za uadilifu zimepambazuka CHADEMA; hawana nafasi tena! Viti vya majimbo yao walioadiwa na CCM ili waivurige Chadema, wakavifutilie hukohuko CCM, na biashara ya kuwachuuza wanaChadema kama nyanya kila uchaguzi sasa basi! Kwetu ni No Reform No Election! Na tonetone tunaendeleza!
Naunga mkono mkuu

Na wamejipanga haswaa
 
Huoni wapo kumfifisha huyo mwenyekiti? Mkiwachukulia kirahisi rahisi hao G55 nakuja na majibu rahisi rahisi ila hao wamejiandaa kuvuruga.
Hawawezi fanikiwa. Wananchi wameshawajua na kuwakataa mapema sana.

Wamebaki kula fedha za CCM tu na vyombo vya habari vilivyonunuliwa
 
Sawa tusubiri tuone Tundu atawakabili vipi hao jamaa wanaonekana wamejipanga na wana pesa za kuvuruga uongozi wa Tundu.
Pesa haramu yoyote,haijawahifanikisha jambo.
Pesa tumia kufanya mambo ya heri utafanikiwa,hapo ni vita kati ya pesa haramu za abuduliii na mkono wa umma.
au tuseme Goliathi akiwa mkuki mzito na ngao ya chuma kinyume cha Daudi mwenye jiwe na kombeo akiwa pamoja na mkono wa Mungu. Daudi alimkata kichwa goliathi mwisho wa game.
 
Wote tuungane kuwashughulikia G55 hawa madalali wa demokrasia yetu ! Tusiwaachie viongozi tu! Ikiwezekana hata mitaani tuwazodoe hao mamluki. Rafiki yangu alipigwa sana na kawa kilema wakati wa uchaguzi 2020 kwa akilinda kura za Hilima Mdee, baadae Halima alitusaliti kuwa Covid 19 bila hata aibu. Sasa basi G55 wahamie CCM wasituletee vilema na mauaji ya kafara za uchaguzi usio na tume huru.!
 
Back
Top Bottom