Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

Pesa haramu yoyote,haijawahifanikisha jambo.
Pesa tumia kufanya mambo ya heri utafanikiwa,hapo ni vita kati ya pesa haramu za abuduliii na mkono wa umma.
au tuseme Goliathi akiwa mkuki mzito na ngao ya chuma kinyume cha Daudi mwenye jiwe na kombeo akiwa pamoja na mkono wa Mungu. Daudi alimkata kichwa goliathi mwisho wa game.
Vaa viatu vya Tundu,utawafanya nini hao G55?
 
Wote tuungane kuwashughulikia G55 hawa madalali wa demokrasia yetu ! Tusiwaachie viongozi tu! Ikiwezekana hata mitaani tuwazodoe hao mamluki. Rafiki yangu alipigwa sana na kutwa kilema wakati wa uchaguzi 2020 kwa akilinda kura za Hilima Mdee, baadae, baadae Halima alitusaliti kuwa Covid 19 bila hata aibu. Sasa basi G55 wahamie CCM wasituletee vilema na mauaji ya kafara za uchaguzi sio na tume huru.!
Hawa ni kuwafuta haraka sn
 
Tunawapiga Spana kila mahali
 
Salaam wakuu,

Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi

waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
Haswaaaaa, na ushindi wa LISSU ndio umetenganisha waziwazi MAJI na MAFUTA.
 
Hao kenge 55,ni, project ya ccm kuivuluga chadema,
Nccr, cuf ziliuliwa from within, an enemy within, sasa hv Lisu kawashika vibaya, ni mishuzi tu inawatoka,
Siasa za vyama vingi zina mbinu nyingi. CCM wapo hai tangu 1977 wanaujua usafi na uchafu wote uliopo kwenye siasa.

Mpaka uchaguzi ukimalizika hao kina Mrema na marafiki wote wa Mbowe watakuwa tayari mamilionea.
 
CCM itatawala milele daima kwa sisi tuliohai sasa
Utawala wao umefika mwisho,ikitokea tukapata katiba mpya au tume huru ya uchaguzi,basi chama hicho utakikuta
sehemu ilipo KANU ya kenya.
Ndo maana tunatakiwa kuwapuuza kwa kiasi kikubwa wanaopinga mabadiriko ya katiba.
 
Na ndomana hawatoruhusu mabadiriko ya katiba abadani
 
Salaam wakuu,

Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi

waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
Pandikizi ni nini kwa muktadha huu?..maana chama ni cha mtei na mkwewe
 
Pandikizi ni nini kwa muktadha huu?..maana chama ni cha mtei na mkwewe
Wahaya wanaita "'engulukizi''kiingereza wanaita parasites.
Huyo mtei alishiriki kumpokea Lowasa,alimpokea kwa kanuni,na Slaa alipopinga akaondoka
hatukuona mzee mtei anaondoka naye. Na akina mrema waliposhiriki kupitisha hiyo kauli mbiu wakiwa na kaka yao
walitakiwa kuendelea kuiunga mkono hata baada ya kaka yao kustaafishwa na kura za wajumbe.
 
Back
Top Bottom