Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

Wahaya wanaita "'engulukizi''kiingereza wanaita parasites.
Huyo mtei alishiriki kumpokea Lowasa,alimpokea kwa kanuni,na Slaa alipopinga akaondoka
hatukuona mzee mtei anaondoka naye. Na akina mrema waliposhiriki kupitisha hiyo kauli mbiu wakiwa na kaka yao
walitakiwa kuendelea kuiunga mkono hata baada ya kaka yao kustaafishwa na kura za wajumbe.
Lowasa hakuja mikono mitupu...so maslahi yana athari kubwa kwenye kujua pandikizi ni nini?..ndipo swali langu lilipo
 
Salaam wakuu,

Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi

waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
Ni Team Mbowe waliozoea kuishi kwa mgongo wa chama kupitia hongo za mbogamboga. Now chama kimerudi kwenye msingi wake mirija yao imekatwa so wanaonesha rangi zao halisi na watashindwa tu na kuhamia kwa anayewatuma.
 
Back
Top Bottom