Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

Lowasa hakuja mikono mitupu...so maslahi yana athari kubwa kwenye kujua pandikizi ni nini?..ndipo swali langu lilipo
 
Salaam wakuu,

Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi

waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
Ni Team Mbowe waliozoea kuishi kwa mgongo wa chama kupitia hongo za mbogamboga. Now chama kimerudi kwenye msingi wake mirija yao imekatwa so wanaonesha rangi zao halisi na watashindwa tu na kuhamia kwa anayewatuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…