Uwepo wa maisha nje ya sayari ya Dunia, Utathibitisha hakuna Mungu

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Wanasayansi wa anga kila uchao wanafanya tafiti kujua kama kuna maisha ya viumbe hai nje ya sayari ya dunia.

Vitabu vitakatifu vinatuambia kua binadamu ni viumbe pekee spesho katika macho ya mwenye enzi Mungu.Hivo basi kama ikagundulika sayari nyingine ina intelligent life basi itakua sisi binadamu sio spesho kama visemavyo vitabu.

Kama binadamu sio spesho basi vitabu vinasema uongo na hata huyo Mungu hayupo.
 
Kitabu gani cha dini kilichosema binadamu ni viumbe pekee?
Sima Qur'an 76:1
"Hakika ulimpitia Binadam wakati mrefu katika dahari,hakuwa kitu kinachotajwa.(Binadamu ndio kiumbe wa Mwisho kuumbwa).
 
Hao viumbe wengine walitumiwa mitume na manabii??
 
Huo upuuzi utatuongezea au kutupunguzia nini cha maana??
 
Inaezekana na hivyo viumbe vilipo navya vinafanya tafiti ya kugundua sayari zingine angalieni msije mkakutana kati n ngumi zikannza kuchapwa
 
Wapi umesoma hayo ktk vitabu vitakatifu ?

KWA TAARIFA YAKO HATA MAJINI WAMEUMBWA KABLA YA BINADAMU

Mwenyezi Mungu Anasema:

"Na tulimuumba mwanadamu kwa udongo mkavu unaotoa sauti (unapogongwa), unaotokana na matope meusi yaliyovunda.

Na majini tuliwaumba KABLA, kwa moto wa upepo wenye joto (kubwa kabisa)."

AlHijr- 26-27

Kwa hivyo majini waliumbwa kabla yetu na waliishi katika ardhi hii hata kabla ya kuumbwa kwa Adam (Alayhis salaam.
 
Kama ni kweli wapo hao mainteligent mi nazani siku nyingi wangetuchukua tuwe watumwa wao au kututawala.
 
Unajua ukubwa wa ulimwengu?umbali kati ya sayari mpaka sayari??
Inawezekana kama hao viumbe nao wanafanya utafiti,basi waliichunguza dunia miaka mingi sana iliopita kiasi kwamba dunia ilikua na non intelligent life au no life at all.
Hivyo viumbe vingingine huko sayari nyingine vingekuwa interigent kuliko sisi binadamu vingegundua dunia na uwepo wetu kabla sisi hatujawagundua
 
Wapi umesoma hayo ktk vitabu vitakatifu ?

KWA TAARIFA YAKO HATA MAJINI WAMEUMBWA KABLA YA BINADAMU

Mwenyezi Mungu Anasema:

"Na tulimuumba mwanadamu kwa udongo mkavu unaotoa sauti (unapogongwa), unaotokana na matope meusi yaliyovunda.

Na majini tuliwaumba KABLA, kwa moto wa upepo wenye joto (kubwa kabisa)."

AlHijr- 26-27

Kwa hivyo majini waliumbwa kabla yetu na waliishi katika ardhi hii hata kabla ya kuumbwa kwa Adam (Alayhis salaam.
Achaba na hao viumbe wa nadharia,naongelea viumbe halisi kama watu,miti,wanyama,ndege,wadudu n.k
 
Africa kuna mambo kwa America na kwingineko watu wanaopinga uwepo wa Mungu wengi wao ni wasomi wakubwa wana IQ kubwa sana wamevumbua machine na technology za ajabu.

Ila Tanzania wanaopinga uwepo wa Mungu ni wavuta bangi na vilaaza walalahoi wasiojitambua.
 
Unajua ukubwa wa ulimwengu?umbali kati ya sayari mpaka sayari??
Inawezekana kama hao viumbe nao wanafanya utafiti,basi waliichunguza dunia miaka mingi sana iliopita kiasi kwamba dunia ilikua na non intelligent life au no life at all.
but at least the should've discovered possibilities of having life in planet earth on future,
 
Africa kuna mambo kwa America na kwingineko watu wanaopinga uwepo wa Mungu wengi wao ni wasomi wakubwa wana IQ kubwa sana wamevumbua machine na technology za ajabu.

Ila Tanzania wanaopinga uwepo wa Mungu ni wavuta bangi na vilaaza walalahoi wasiojitambua.
Umetumia kipimo gani???
 
Umetumia kipimo gani???
Sasa kwa mwenye akili timamu kuna hoja ya maana kwenye hii thread au zozote zilizoanzishwa hapa na hao vilaaaza hawana hata hadhi ya kuitwa atheists sababu atheism yenyewe hawaijui.
 
Africa kuna mambo kwa America na kwingineko watu wanaopinga uwepo wa Mungu wengi wao ni wasomi wakubwa wana IQ kubwa sana wamevumbua machine na technology za ajabu.

Ila Tanzania wanaopinga uwepo wa Mungu ni wavuta bangi na vilaaza walalahoi wasiojitambua.
Wewe upo kundi lipi?
 
Back
Top Bottom