bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Wanasayansi wa anga kila uchao wanafanya tafiti kujua kama kuna maisha ya viumbe hai nje ya sayari ya dunia.
Vitabu vitakatifu vinatuambia kua binadamu ni viumbe pekee spesho katika macho ya mwenye enzi Mungu.Hivo basi kama ikagundulika sayari nyingine ina intelligent life basi itakua sisi binadamu sio spesho kama visemavyo vitabu.
Kama binadamu sio spesho basi vitabu vinasema uongo na hata huyo Mungu hayupo.