Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Mleta mada, Anadhani pengine yeye ndio wa kwanza kumtetea huyo Mungu..😅

Analeta imani zake JF, Anadhani humu ni msikitini au kanisani...
 
Nakwambia hivi..👇

Huyo Allah ni Mpumbavu sana.

Huyo Allah alikuwa hajui kwamba Duniani kuna watu wa lugha mbalimbali ashushe Quran kwa lugha zote za watu wote duniani apate kueleweka?
 
Wapo humu kwa sababu wana personal conflict na imani zao mkuu.
Ndo hivyo mi naona atheism itakuwa kuwa kitu normal tu bongo ..watu wengi Wana act Wana Imani mbele za watu ila in real sense Wana doubts nyingi .. tutafika tu
 
Ninge kuwa na juwa hilo kwamba na mpigia mbuzi gitaa wala nisinge poteza muda wangu
 
Kwa mbali kama nakuelewa hivi
 
Kwa mbali kama nakuelewa hivi
Taratibu tutaelewana tu mkuu, atakayeelewa ataelewa, anayejikatalisha kufuatilia logic naye ni haki yake kutoelewa.

Ila nashangaa inakuwa vipi watu wanashindwa kuelewa logic hii ambayo iko wazi kabisa.
 
Nakwambia hivi..👇

Huyo Allah ni Mpumbavu sana.

Huyo Allah alikuwa hajui kwamba Duniani kuna watu wa lugha mbalimbali ashushe Quran kwa lugha zote za watu wote duniani apate kueleweka?
العنىة لله عليه
 
Why huamini in Yahweh au Yesu? Coz hoja hizo hizo Kama nani kaumba jua au nani kawapaka rangi ndege unaweza kuzitumia kusema Yesu au Yahweh ndo Mungu. So why u ain't convinced on the existence of other gods ambao watu billion wanawaamini kuwa ndo muumba wa kila kitu?
Answer: the same reason wewe huamini miungu mingine isipokuwa Allah coz umekaririshwa na Maza yako tokea utotoni ambapo ungeweza kuamini chochote. The same reason na sisi hatuamini Allah.
 
Sawa Mungu yupo, lakini anatumiwa dini Gani kutufikishia ujumbe wake?
Nawasihi mfike pale uwanja wa maonyesho Saba Saba tarehe 16-17 December 2023 kuisikiliza Mdahalo wa Mwl Francis Ndacha na Dr. SULE

View: https://www.youtube.com/live/MjV6HoXEAIs?si=LA4NBzAi2a2F6QMn
 
Hii ni Nini? Sidhani Kama bongo mmefika stage ya kuwa na religious debate...serikali yetu inategemea dini ili iendelee kuongoza...
Serikali haina dini lakini viongozi wake ndio wana dini hahahahaha.

Bora nikae kimya
 
Serikali haina dini lakini viongozi wake ndio wana dini hahahahaha.

Bora nikae kimya
Uwongo...serikali inatumia dini kutawala watu... Jiulize kwa Nini sakata la bandari, ushoga, n.k yote yalihubiriwa makanisani na misikitini...bila dini hii nchi ni ngumu sana kumobilize watu kufata agenda fulani..
 
Mpokee yesu atajithibitisha mwenyewe katika maisha yako
Hiyo ni kauli ya imani, si kauli ya fact.

Hujathibitisha kwamba atajithibitisha.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaondoa contradictions zilizopo katika Biblia.

Hujatatua the problem of evil.
 
Angekuwepo ata usinge taka nidhibitishe kutokuwepo kwake, thibitisha wewe unaesema yupo ? Mungu mwenye upendo mueza wa yote angekuwepo kweli hata hii isingekuwa mjadala tena.
Nimecheka sana, kutumia kwako "nge" kunaonyesha huna ushahidi na huwezi kutetea hoja yako. Yaani unaishi kwenye dhana.

Sasa ushasema ni muweza wa yote, halafu mbele unakanusha uwezo wake ? Hii akili ya wapi ?

Amekuwa muweza wa yote ndio maana anayafanya mpaka yale ambayo akili yako inaona sio sawa, huu ndio uwezo ulio kamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…