Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mleta mada, Anadhani pengine yeye ndio wa kwanza kumtetea huyo Mungu..😅Yaani aliyeanzisha mada anajua vyote anavyosema vimeshapingwa kwenye manyuzi kibao na ufafanuzi ushatolewa ila anataka na yeye aone raha ya kubishana na atheists. Mi nishasemaga ukiona mtu wa dini yupo kwenye hizi threads Imani yake imeshapungua by more than 50% coz up to that point ushajua vitabu vya dini ni vya watu tu na sio vya Mungu, argument za existence of Mungu wa dini nyingi no illogical na impossible to exist . Yaani humu ndani mtu anajikosha tu eti jua bahari sijui miwa...sukari serious.. Yaani waalimu wa geography na science walikuwa wanafundisha tenzi za rohoni class au..
Analeta imani zake JF, Anadhani humu ni msikitini au kanisani...