Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Hujajibu swali...Allah anatofauti gani na miungu mingine ambayo umeamua kuamini...umeleta hoja mezani unaulizwa swali unakimbia
Miungu IPI.?? Mimi sitambui hiyo miungu mingine itaje wewe,
 
Mungu huyo atabaki kuwa ni mjuzi wa yote kama anapima watu?

That is another contradiction
 
Aisee! Kwani ukitoka njee kwako ukatizama juu angani si ndo mbingu huko kwenye nyota.
Hapo inakuonesha kwamba huelewi ulimwengu hata kwa uchache tu.

Vision yetu ya macho iko limited, tunaweza shuhudia katika ukomo tunaoweza kuuona,

sasa hiyo nafasi tuionayo hapo... Kivipi uone ufa..
Unaweza ona ufa kwenye nafasi?
 
Sawa mkuu. binadamu je katokea wapi?
 
Nawe acha kudandia gari kwa mbele
Ukumbuke upo kwenye open forum sio msikitini.

Hukatazwi kuwa na imani yako, Huo ni uhuru wako kabisa wa kikatiba wa kuabudu.

Ila ukianza kudai kwamba imani yako ndio yenye ukweli wa kila kitu, Lazima uthibitishe hilo kwa vithibitisho vya uhakika, Sio kwa Hadithi za vitabuni vya kusadikika.

Maana imani za uwepo wa Mungu zipo kwenye vitabu vingi sana kuna Biblia ya wakristo, Veda ya wahindu, Tiptaka ya wabudha, Kojik ya washinto(Wajapan), Adi Granth ya wasikhism na Quran yenu waislamu.

Sasa huwezi kuhalalisha kwamba Quran ndio yenye ukweli sana kuliko vitabu vingine, Maana vitabu vya uwepo wa Mungu ni vingi.
 
سجكلزمشا أمن ننسكامن نا
Ndio maana mwanzoni nilikwambia huna unachojua zaidi ya Quran uliyo karirishwa na kuaminishwa.

Pengine hata sekondari hukufika.

Ulisoma madrasa tu.

Upeo wako wa kufikiri uko limited huna unachojua nje ya Quran.
 
Ndio maana mwanzoni nilikwambia huna unachojua zaidi ya Quran uliyo karirishwa na kuaminishwa.

Pengine hata sekondari hukufika.

Ulisoma madrasa tu.

Upeo wako wa kufikiri uko limited huna unachojua nje ya Quran.
Ume nichekesha Sana ndo maana nakwamba rudi usome hujuwi tofaut ya Qur'an na kiarab cha kawaid
Wewe uliefika secondary unanini mpaka sasa..???
 
Vikiwepo mtandaoni ni lazima viwe vya kweli?

Kuna / Una ushahidi kuwa hayo ni ya kweli?

Unaweza vipi kuthibitisha kuwa unachoamini wewe ndio kweli na ninachoamini mimi ni uongo?
 
Unajua maana ya "Self evident truth". Soma kwanza kisha uje kujenga hoja.
Ndyo nna fahamu,

NIeleze how hivyo vitu viwe self evident truth ukihusisha na dhana ya kuumbwa na Mungu?
 
How uwepo wangu unathibitisha uwepo wa Mungu?
 
Ume nichekesha Sana ndo maana nakwamba rudi usome hujuwi tofaut ya Qur'an na kiarab cha kawaid
Wewe uliefika secondary unanini mpaka sasa..???
Wewe na huyo Allah wako mna nini cha utofauti ambacho wengine hawana?
 
Mkuu,
Kuamini uwepo wa Mungu huja kwa njia ya imani. Ukiwa na imani ya kuwa Mungu yupo ndipo naye atajidhihirisha kwako.
Yeye asiye amini uwepo wa Mungu, naye Mungu atashughulika naye kwa namna atakavyoona inafaa, kwa kuwa uweza na nguvu na utukufu ni wake milele na milele.
 
Mimi sijui watu tumetoka wapi.

Lakini sijawahi kusema najua watu wametoka wapi.

Wewe unasema Mungu yupo, lakini huwezi kuthibitisha yupo.

Na wewe ukikataa mimi kutumia hoja yoyote ya kisayansi, usitumie JF. JF ni app iliyotengenezwa kisayansi, internet ni teknolojia iliyotokana na sayansi.

Toka kwenye hii teknolojia ya sayansi, tengeneza yako ya mabua kwa imani ya Mungu, halafu nialike huko tujadiliane.

Maana hutaki sayansi, wakati unaitumia sayansi hapa. Unafiki mtupu.

Unakuwa unasema "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Pia, kama hutaki mantiki, usiandike kwa kutumia lugha wala alphabet. Vyote hivyo vinafuata mantiki ya lugha na sheria za uandishi.

Zote zina mantiki.

Ondoa mantiki katika lugha yako, acha kutumia internet ya sayansi, tengeneza vyako vya imani ya Mungu tu halafu fanya miujiza ya Mungu tuwasiliane huko.
 
Sawa mkuu. binadamu je katokea wapi?
Binadamu hayupo, hiyo ni hadithi ya kuhusu Bin Adam, ambayo inasema Adam alikuwa mtu wa kwanza aliumbwa na Mungu.

Mungu hayupo, Adam hakuwepo, na bin adam ni hadithi, hayupo.

Soma hapa uelewe zaidi kama unajua Kiingereza.


How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Imani ni hali ya kuamini au kutegemea jambo fulani pasipo na ushahidi wa moja kwa moja au thibitisho .

Thibitisha Mungu yupo ili niamini Leo vijembe havitakusaidia kudhibitisha.
Kwanza sahihisha maana yako ya imani. Hilo nakuachia.

Nikuthibitishie mara ngapi ? Nimekwambia kuwepo kwako wewe Kuna thibitisha ya kuwa Mungu yupo.

Kisha nikakuuliza kwako wewe uthibitisho ni nini ?
 
Sioni hata sababu ya kusema dunia imeumbwa iwe kwa mungu ama kwa sayansi bado hakuna udhibitisho ila miaka ijayo sayansi inaweza fanikisha hilo kwa sababu inakua nakubadilika na kujirekebisha kila siku.

Sasa wewe kitu gani kinakufanya upinge ya kuwa Dunia haijaumbwa ?

Umejuaje kwamba huko baadae Sayansi inaweza kufanikisha hilo ?

Una msingi wowote juu ya Sayansi ? Isiwe najadiliana na shabiki wa Sayansi.

Sasa wewe hoja yako Iko wapi ? Embu Jenga hoja tujadiliane.
 
Vikiwepo mtandaoni ni lazima viwe vya kweli?

Kuna / Una ushahidi kuwa hayo ni ya kweli?

Unaweza vipi kuthibitisha kuwa unachoamini wewe ndio kweli na ninachoamini mimi ni uongo?
Naweza kuthibitisha kuwa unaamini uongo kwa kuangalia logical consistency.

Na hata wewe unaruhusiwa kuvitest hivyo unavyovisema vipo mtandaoni lakini hujui kama ni vya kweli.

Mfumo wa sayansi na teknolojia yake ndio uliokupa hii internet na JF. Kwa hivyo, ukitaka kuiponda sayansi vizuri, toka kwenye JF, toka kwenye internet, usitumie hata lugha (lugha inatumia mantiki ya kisayansi pia) halafu tuwasiliane kwa miujiza ya kidini kwa imani yako.

Ukitumia JF tu, ukitumia internet tu, ukitumia mantiki ya lugha tu, umeshatumia sayansi na unajiondolea haki ya kuiponda sayansi.

Sayansi inajiongeza. Dini imedumaa.

Ukionesha mapungufu makubwa katika sayansi, utapewa nishani ya Nobel.

Ukionesha mapungufu makubwa katika dini/imani, utaambiwa kuwa unakufuru.

Hivyo, sayansi inajiongeza kwa kujisahihisha pale inapokosea. Hata kama imekosea leo, ukweli kwamba ukisahihisha unashangiliwa na kupewa zawadi unaifanya sayansi iwe inaenda huku unajiongeza na kujisahihisha.

Upande wa imani na dini, ukiikosoa unapigwa mawe, hivyo, dini inakuwa ni mfumo uliodumaa, haujiongezi, hata ukijiongeza ni polepole saana.
 
Ndyo nna fahamu,

NIeleze how hivyo vitu viwe self evident truth ukihusisha na dhana ya kuumbwa na Mungu?
Ungejua maana yake usingeuliza swali hili tena.

Maana swali lako linaonyesha ya kuwa hujui maana yake, embu kiri kwanza hili, kisha nikueleweshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…