Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Watuwezi endelea kumuelewesha muimba taarab sioni points zozote katika reply zako zaidi ya kebehi na matusi kama huna points umehishiwa rudi katika UZI wako kule
Sitaki uni haribie Uzi wangu, haijalishi I we Open forum au nini Kama huna point
Kaa pembeni itakuwa salama kwako.
 
Hatuwezi sio watuwezi hili linathibitsha mungu wako unayedai yupo ni illiterate.

Kama kuandika huwezi utaweza jenga hoja mkuu?
Thibitisha mungu yupo?
 
Jamaa kuwa muelewa hatutaki porojo huna point achia Uzi rudi kwenye Uzi wako
 
Hatuwezi sio watuwezi hili linathibitsha mungu wako unayedai yupo ni illiterate.

Kama kuandika huwezi utaweza jenga hoja mkuu?
Thibitisha mungu yupo?
Huna hoja siwezi jadili na wewe si wezi muelewesha muimba taarab
 
Nimekubali kushindwa kwako nimepokea hilo.

Aidha njoo tukufundishe au jadiliana na allah wako kichwani kwako utafute uongo mwingine.

Mpaka sasa Matapeli tunaendelea kuwa expose.
Umeshindwa kujifundisha wewe mwenyewe utaweza kuni fundisha mimi ni pitie kushoto mkuu Huna hoja.
 
Wewe ambae unaelewa mada ya public ndio ulieanzisha kebehi na matusi badala ya kutoa hoja za msingi.
Mimi sina kebehi.
Ila wewe ndo una kebehi umeshindwa kuondoa contradiction sasa unakuwa frustated na mimi?

Peace mdogo wangu.
Usije ukakwazika kumbe nipo nachukulia funny.

kushindwa ni njia ya kujifunza pia pumzika sasa.
 
Umeshindwa kuondoa contradiction mpaka sasa.


Umebaki kutetea allah Asiyeweza hata kujisaidia!
Unaacha kuamini Zeus unaamini allah,
Kama kweli una muamini Zeus nenda akakuongeze uwe mke wa pili Hera (Juno) hasaivi mridhishi
 
Nimekubali kushindwa kwako nimepokea hilo.

Aidha njoo tukufundishe au jadiliana na allah wako kichwani kwako utafute uongo mwingine.

Mpaka sasa Matapeli tunaendelea kuwa expose.
Hukuwa na haja ya kujitangaza kama umeshindwa unge kausha kama wenzio
 
There is no God. If angekuepo basi mmarekani na muisrael wangeshapotea kwa uso wa Dunia. Narudia tena hata cc em isingekuepo
 
Mwanangu m Mwanangu hebu punguza kusifia watu,unamsifia mtu bora Hata umsifie Mungu aliyekupa pumzi ya uhai na uwezo wa kufanya unachofanya ,
Hizo ni tabia za kichawa halafu sisi wanaume tukiona mwanaume anasifia ujinga na unafki tunaanza kuwa na mashaka naurijali wako.
Nikwambie jambo jadili hoja,Acha kusifia watu.
Kama unataka ku prove try kujiua halafu uko utaona Mungu yupo au hayupo
 
Kama unataka ku prove try kujiua halafu uko utaona Mungu yupo au hayupo
Nithibitishie mtu aliyejua akaja kuthibitisha mungu yupo?

Hivi huwa mnafikiria nini?

Swala la kusifu lisikupe shida, hao watu kwangu huwa najifunza vitu vingi kuanzia reasoning yao,
Hata maxcence melo namsifu kwa kazi nzuri aliyofanya tupo hapa tunajadiliana.

kama kuna kitu umefanya lazima tukupe maua yako.
Unanipata hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…