Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Wewe kama hujui Kiingereza maana yake asilimia kubwa ya vitabu na websites z8iazoelezea hoja za kutokuwepo Mungu huwezi kuzisoma.

Kimsingi, kwangu , katika habari hizi, huna tofauti sana na mtu asiyejua kusoma.
Abu Huraira (god be pleased with him) relates that the messenger of God (peace be upon him) said ;God does not look at your bodies and your shapes, He looks at your heart; (Muslim) So hiyo wala hainipi shida endelea kuamini unacho kiamini
 
Mungu yupo kweli... ila sio mungu wa kwenye quran wala biblia, MUNGU yupo ndan yako, wewe ni sehem yake na huna haja yakwenda kumuomba mahali maalum ila popote wkt wowote.. tatz ata hao wanaokubali kuwa mungu yupo bado hawajamjua vzur wao kama wao ila wamekaririshwa.. haitakiwi ukaririshwe unatakiwa umjue, cku ukijijua vzur ww n nini ndiyo siku utakayomjua mungu ni nan
 
Suhendra naomba nikuulize. Mungu, ni nini/nani? Yuko wapi? Anafanya nini!
 
Wewe ndo umeharibu kabisaaaaa, mjinga mkubwa(ni utani lakini si kwamba nimekutukana). Mfano mimi ni sehemu ya mungu,na yupo ndani yangu.

Sawa kabisa. Swali linakuja je,maovu nahotenda mimi,kama ni sehemu yangu si tunashirikiana? Chukulia mfano naiba tikiti la mke wa mtu. Af ni sehemu yangu kumbuka? Si hapo tumekula 50/50??? Mungu gani huyo sasa!!! Muovu kama mimi! Haya,ana nguvu mnazompachika,lakini hawezi kunikemea huku anajua nafanya aliyoyakataza. Si ananiogopa mimi?
 
Suhendra naomba nikuulize. Mungu, ni nini/nani? Yuko wapi? Anafanya nini!
ربي الله الذي رباني وربي جمعيع العالمين بنعمه وهو معبودي ليس لي معبود سواه
والدليل: قوله تعال
الحمد الله رب العلمين
وهو في السماء في الحرش
 
Isaya 26:3-4

3 Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini.

4 Mtumainini Bwana siku zote Maana Bwana YEHOVA ni mwamba wa milele.
 
Pole sana mkuu
 
Hujajibu hoja yoyote hapa zaidi ya kubwabwaja........msome tena mleta mada kwa utulivu halafu urudie kujibu, na kwa nini ufikiri ni lazima Mungu awe ameumbwa kwa sababu ya kufanya uumbaji wa kustaajabisha ikiwemo binadamu na viumbe hai wengine.
 
Mbona Ujajiuliza uyo Mungu wako alitokea vipi Kama nae Hakuna aliemuumba[emoji848]
Watu ni wa ajabu sana, Na hawafikirii sawasawa kama huyu mleta mada Sahendra.

Yani wanaona sawa kabisa kwamba Mungu hana muumbaji, ila wana lazimisha Dunia iwe na Muumbaji.

Ukiwauliza muumbaji wa Mungu ni nani?

Hawana majibu wanabaki kujiuma uma na kujing'ata ng'ata na stori zao uchwara za Biblia na Quran.

Kama mtu ana amini Mungu hana muumbaji, Anashindwaje kuamini pia Dunia haina Muumbaji?

Kama dunia Lazima iwe na Muumbaji hata huyo Mungu lazima awe na Muumbaji.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muumbaji.

Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima awepo muumbaji.
 
Mwambie awaokoe watoto, akina mama na watu wote wa gaza.
 
Hujajibu hoja yoyote hapa zaidi ya kubwabwaja........msome tena mleta mada kwa utulivu halafu urudie kujibu, na kwa nini ufikiri ni lazima Mungu awe ameumbwa kwa sababu ya kufanya uumbaji wa kustaajabisha ikiwemo binadamu na viumbe hai wengine.
Na wewe kwa nini ulazimishe kwamba Dunia iliumbwa?

Kwa nini?

Hivi wewe unafikiri sawasawa kweli?

Hakuna ulazima wa kwamba Dunia iliumbwa.

Kama ulazima huo upo, Hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muumbaji, Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima awepo muumbaji.
 
Kwanini kumekua na wimbi kubwa sana mnaekosoa uwepo wa Mungu au kudhihaki Mungu sio chochote? Uzuri Mungu sio mwingi wa hasira kama binadamu bali huchukizwa na yule asienenda kwa nyia zilizo nyofu,tuamini ipo siku hakika atajidhihirisha kwenu ili mumfahamu ya kuwa yeye yupo na anawezo wa kufanya lolote, wakati wowote na kwa vile inavyompendeza.
 
Mungu kama yupo na angekuwa na ukuu kweli na nguvu kweli, Asinge ruhusu kiumbe chochote kile au Binadamu yeyote yule amkufuru.

Mungu huyo kama alitaka asikufuriwe, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio na uwezo wa kumkufuru?

Tukamtii siku zote za maisha yetu?
 
Hutumii akili wewe, Mungu muumbaji anawezaje kuumbwa......hapo ndo mnapokwamia na huyo mwenzenu kiranga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…