Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Just imagine, Watoto wasio na hatia yeyote ile wala ufahamu wowote ule wanakufa kwa vita na majanga ya asili mbalimbali yaliyopo duniani.Mwambie awaokoe watoto, akina mama na watu wote wa gaza.
Halafu una ambiwa, Mungu ni mwema sana mwenye huruma na upendo na huokoa watu kwenye shida na vita.
Maelfu ya watoto wamekufa huko Gaza lakini Mungu anaye daiwa ni mwema, mwenye huruma na upendo AMESHINDWA KUWA OKOA watoto hawa...
Yani kama huyo Mungu yupo ni mkatili sana na Muuaji mkubwa sana.
Murderer God.