- Thread starter
- #21
Naona unapenda sana mambo ya LGBT,kawaida ya vijana wanaotumika kuja na lugha ya matusi ili kukera watu wasitoe mawazo yao,tuliona wengine wakimchapa makofi hadi Mzee Warioba kwenye mambo ya katiba mpya!!Umeona wapi jamii ikakaa kimya kupopolewa MAWE kwa kiongozi yeyote yule ?!!!!
Mh.Rais yuko Mbeya na haya mambo ya hukumu huvuta watu wengi maeneo ya mahakamani na mjini unataka watu wa PROTOKALI ya safari za Rais waridhie tu mchanganyiko wa majambo hayo mawili?!!! [emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]
Hivi shule tunakwenda kusomea "LGBT"?!!![emoji1787]
Maeneo ya mahakama na maeneo ya 8-8 kwa Mbeya ni sehemu 2 tofauti na siku zote mahakama ziko mbali na maeneo ya mchangayiko kutokana na utulivu kuhitajika.
Kama suala rais Samia kuogopa kuchanganyika,jana mpaka saa moja na usiku mbona alikua temeke uwanjani kwenye mchangayiko?!!
Uzuri unakili kua hukumu imeahirishwa kwa ujio wa rais,huko sio kuingilia uhuru wa mhakama?!!