Uwepo wa rais Mbeya kesho kwenye 8-8 ndio kumeahirisha hukumu ya kesi ya Bandari?

YAANI MBURURA MMOJA TU AISHINDE SERIKALI KLWELI??MNAJIDANGANYA HAPO HAKUNA KESI ISHJATUPILIWA MBALI VIGEZO HAVIJAKIDHI NA DP WORLD WANAENDELEA NA KAZI NYIE PIGENI KELELEEEE MPAKA MCHOKE
Nyie pigeni kelele? Haya malalamiko wewe unaita kelele?
 
Nimeshuhudia kuna mashabiki wa Simba kindakindaki walikuwa washakata na tiketi lakini wakaghairi kwenda kwa ajili ya mambo hayo

Kuna mtu aliwatonya kuwa wanaenda kumpa kiki bi tozo wee na hivi hawamfagilii wakasema uwanjani hawaendi na tiketi wanatupa wala hawagawii mtu bure.

Nilicheka sana.
 
Uongo huo....

Kungekuwa hakuna MAHAKAMA nisingelipwa HAKI yangu ya UVAMIZI WA ENEO LANGU...

Mahakama ndiyo iliyoona nina HAKI pamoja na mtuhumiwa kuniapiza kuwa atashinda kwa sababu ya PESA ZAKE....

Tunadanganyana sana [emoji26]
Mbona umeshindwa kujibu hoja zake?
 
mhimili wenyewe ushajidogosha kabla tena Kwa taarifa yako ni yeye ndio alipiga simu kwa Jaji ahairishe

Habari hiyo nakuhabarisha
Siipokei....ni ya uongo....

Mihimili huwa inashirikiana katika mambo mtambuka ya ndani ya ALMANAC ya shughuli za kitaifa....

Sherehe za 8/8 ziko ndani ya ALMANAC....
 
Kuna mambo ya hovyo sana Karia na TFF yake,siasa kuletwa uwanjani
 
Siipokei....ni ya uongo....

Mihimili huwa inashirikiana katika mambo mtambuka ya ndani ya ALMANAC ya shughuli za kitaifa....

Sherehe za 8/8 ziko ndani ya ALMANAC....
Sasa walipangaje tarehe 7/8 na wakati walikuwa wanajua kuna 8/8 au bi tozo asingekuja Jaji angemaliza leo?
 
Ndio kumeathiri pakubwa maana kama hukumu ingetoka kabla hajatembelea wananchi wa huko jinsi walivyo kama hawamkubali kiongozi wanagoma kuhudhuria au kurusha mawe kama walivyomfanyia Kikwete pale Tunduma na hakuwahi kutembelea tena Mbeya hadi anaondoka madarakani.

Mbeya na Tunduma iwanamisimamo isiyoyumba kusimamia wanachokiami ni sahihi.
 
N ndio maana wana maendeleo,tazama mikoa yote yenye raia wanaojitambua huwa ina maendeleo makubwa!!
 
Kwahiyo na nyie wazalendo uchwara hukumu itakayowafrahisha ndio mtaikubali? Vinginevyo ni serikali imebebwa? Msikae na hukumu mfukoni mtazidi kuumia na kuumiza maisha yenu bure tu
 
Mbona bandari ya Kigoma na Mwanza hazipo kwenye huo mkataba wa DPW?.

Hawa wawekezaji wanakwenda kutumia asilimia nane tu ya eneo la bandari. Wanategemewa kuleta ufanisi ambao ndio unapungua pale bandarini.
 
Kasome mkataba, mkataba unasema Bandari zote za baharini ba kwenye maziwa!!

Kama hazipo,Lissu na Mbowe wasingekita kambi kanda ya ziwa!!
 
Mbona bandari ya Kigoma na Mwanza hazipo kwenye huo mkataba wa DPW?.

Hawa wawekezaji wanakwenda kutumia asilimia nane tu ya eneo la bandari. Wanategemewa kuleta ufanisi ambao ndio unapungua pale bandarini.
Bandari za Kigoma, (ziwa Tangaynyika) Mwanza (ziwa Victoria/Nyanza), Ruvuma (ziwa Nyansa) zote hizo zimo ila zimetajwa kwa tafsida (bandari zilizoko kwenye bahari na maziwa yote)
 
Bandari za Kigoma, (ziwa Tangaynyika) Mwanza (ziwa Victoria/Nyanza), Ruvuma (ziwa Nyansa) zote hizo zimo ila zimetajwa kwa tafsida (bandari zilizoko kwenye bahari na maziwa yote)
Na kukawekwa kipengele kua Tanzania hairuhusiwi kumpa uwekezaji mtu/kampuni nyingine bila ya idhini ya waarabu!!
 
Basi wanajua matokeo. Na hasa ni yale ya kuitupilia mbali kesi.
 
Ukienda Mahakamani uwe tayari kupokea hukumu kulingana na hoja ulizoishawishi mahakama ili ikupe ushindi hoja hizo ni lazima ziwe nzito kushinda za mpinzani wako.

Sasa katika kufuatilia kesi hiyo si inaonekana wazi kwamba ushindi unaelekea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…