Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

Kwa hiyo RC walikuwa wanakutegemea wewe au? 🤣🤣🤣
 
Haya unayosema yameandikwa wapi?? Mkataba tunaoujua hauna vipengele hivyo!!
 
Serikali ya CCM imeipiga TEC "chenga ya mwili " .Mbinu nzuri ya kupata uungwaji mkono ni kumtumia mkosoaji "critic "

Sasa kanisa na wasomi wake wote wameufyata mbele ya Chama, sijui wataambia nini waumini
 
Hakika
 
Serikali ya CCM imeipiga TEC "chenga ya mwili " .Mbinu nzuri ya kupata uungwaji mkono ni kumtumia mkosoaji "critic "

Sasa kanisa na wasomi wake wote wameufyata mbele ya Chama, sijui wataambia nini waumini
Hawana aibu lini RC awe na aibu?
 
Kumbe wewe ndiye uliyekuwa umepewa Mzigo na Akina Nshomile ili Uwashawishi wenzako watoe Waraka. Lakini Usichokijua hata Ushauri wa TEC wote umechukuliwa na kufanyiwa kazi ndiyo maana Mkataba saizi ni Miaka 30.
NB: TEC tunawajua na wanaelewa kuwa Serikali imechukua maoni. Sema labda lengo lako la kukwamisha Mkataba limekwamaaa kwa maslahi yako lakini siyo ya Nchi. Wale waliotoa changamoto zilizopo kwenye Mkataba zimefanyiwa kazi kwa Maslahi ya pande zote mbili kwa Maslahi ya nchi na siyo tumbo lako
 
Kama ambavyo walitangaza waraka wa kupinga mkataba wa bandari, watangaze tena kwanini wamebadili gia angani?
Huo mgongo hawana, kondo wao watawashutukia bure, jopò kondo walishalushwa sumu wanawaona kama miungu yao.
 
tec wepesi hawana uwezo wa kuzuia mambo ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…