Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
Kwa hiyo RC walikuwa wanakutegemea wewe au? 🤣🤣🤣Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Haya unayosema yameandikwa wapi?? Mkataba tunaoujua hauna vipengele hivyo!!wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
HakikaUshaabiki na uzandiki ni mwingi sana kwa bongolala. Sisi hatukupinga uwekezaji bali aina ya mkataba. Sijauona huo mkataba uliosainiwa lkn walau sasa wanatamka wazi ukomo wa mkataba na mipaka ya uwekezaji hata hao wa serikali wana ujasiri wa kuitamka. Hicho ndicho tulichokuwa tunakitaka.
Hawana aibu lini RC awe na aibu?Serikali ya CCM imeipiga TEC "chenga ya mwili " .Mbinu nzuri ya kupata uungwaji mkono ni kumtumia mkosoaji "critic "
Sasa kanisa na wasomi wake wote wameufyata mbele ya Chama, sijui wataambia nini waumini
Wagalatia wanatapatapa,serikali huwez kushindana nayoDP WORLD ni kampuni kutoka Emirates, hii vatican na US vimeingiaje hapa mkuu.
nasubiri uchambuzi wa RC lialia, Kitima Kama upo humu utuambie kwanini umefanya UTURN ghaflaHawana aibu lini RC awe na aibu?
Mshana JrKwahyo vipengele tata vya huu mkataba ndo vilikuwa hivi 7 tu? halafu TEC si walisema mkataba wote ni mbovu ufutwe? na mkatuhubiria huku mtandaoni kuwa serikali imeshaachana na mpango wa uwekezaji wa bandari kutokana na pressure kubwa kutoka kanisani na kwa wananchi.
Njaa tu hawana tofauti na wana siasa wa upinzani.nasubiri uchambuzi wa RC lialia, Kitima Kama upo humu utuambie kwanini umefanya UTURN ghafla
Kama ambavyo walitangaza waraka wa kupinga mkataba wa bandari, watangaze tena kwanini wamebadili gia angani?Njaa tu hawana tofauti na wana siasa wa upinzani.
Kumbe wewe ndiye uliyekuwa umepewa Mzigo na Akina Nshomile ili Uwashawishi wenzako watoe Waraka. Lakini Usichokijua hata Ushauri wa TEC wote umechukuliwa na kufanyiwa kazi ndiyo maana Mkataba saizi ni Miaka 30.Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Huo mgongo hawana, kondo wao watawashutukia bure, jopò kondo walishalushwa sumu wanawaona kama miungu yao.Kama ambavyo walitangaza waraka wa kupinga mkataba wa bandari, watangaze tena kwanini wamebadili gia angani?
Kondoo hawawezi kuhoji?Huo mgongo hawana, kondo wao watawashutukia bure, jopò kondo walishalushwa sumu wanawaona kama miungu yao.
Leo wakatoliki wanajitetea eti mkataba umefanyiwa marekebisho. wakati wao walitaka mkataba ufutwe kabisa. Afadhali kkt waliseme kwamba mkataba uboreshwetec awakuutaka huu mkataba walitaka ufutwe.
warakaa huu hapa.
[emoji116]
Kuwa 30 ni kweli, issue ni kwamba wapi palijadiliwa kuwa ni zaidi ya 30.Kwa hiyo yanayosemwa kuwa ni 30 ni uongo?
Hahaha mkuu usinitafutie ugomvi na Mnafiki Wa KujitegemeaWagalatia wanatapatapa,serikali huwez kushindana nayo
US ni Super Power kuna maeneo ili kulinda hadhi yake lazima atumie mlango wa nyuma kuyaingia, ni kama alivyo na makampuni kule China.DP WORLD ni kampuni kutoka Emirates, hii vatican na US vimeingiaje hapa mkuu.
tec wepesi hawana uwezo wa kuzuia mambo ya serikali.Kwani tuongelea waraka au maneno yako.Waraka ulihitumishwa kwa kuupinga ule mkataba ndio maana serikali imesema ilizingatia sana maoni ya wadau kwenye huu mkataba.Japo wazo la wazawa na kujijengea uwezo wetu linabaki kuwa Bora kuliko la kutafuta wanaoweka na kuchukua.
Wamepigwa upofu hawaoni.Leo wakatoliki wanajitetea eti mkataba umefanyiwa marekebisho. wakati wao walitaka mkataba ufutwe kabisa. Afadhali kkt waliseme kwamba mkataba uboreshwe