Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Kuwa super power ni sawa mkuu, ila waarabu hawana njaa ya kushindwa kuwa na kampuni kama DP world.US ni Super Power kuna maeneo ili kulinda hadhi yake lazima atumie mlango wa nyuma kuyaingia, ni kama alivyo na makampuni kule China.
Huo uliorekebishwa nani ameuona auweke hapa?? Yaani TEC wamenilet down kwakweliLeo wakatoliki wanajitetea eti mkataba umefanyiwa marekebisho. wakati wao walitaka mkataba ufutwe kabisa. Afadhali kkt waliseme kwamba mkataba uboreshwe
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
Kwani tangu mwanzo mlipokuwa mnaekezwa kwamba hayo yote mnayolalamikia huoneshwa kwenye HGA na siyo IGA,mlikuwa mnabisha nini?.wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Tuna watu kama hawa kwa kweli ni shida kubwa hapa nchini.! Nenda ww basi BANDARI ukatoe hizo meli zinazokaa hapo siku kumiTumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Watu wengine Bwana! SEMA mimi na si sisi.watu walikuwa hawapingi uwekezaji,waliplnga ulle mkataba,Sasa kama ulimsikiliza vizuri Mh.Rais walipokea maoni mbalimbali na wakauboresha ule mkataba,sio wa milele Tena ni WA miaka 30 nakupitiwa Kila baada 5yrs,na mengine mazuri Inamaana Bado wewe hukubaliani?Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Nakuambia ingekuwa Huo uwekezaji wa bandari yetu ni Waarabu pekee ungeona makelele ya huko duniani na isingewezekana, kumbuka Zanziba nini kilitokea baada ya kuona Zanziba itachukuliwa na Waarabu Nyerere aliambiwa aichukue iwesehemu ya Tanganyika.Kuwa super power ni sawa mkuu, ila waarabu hawana njaa ya kushindwa kuwa na kampuni kama DP world.
Kama ushauri walioutoa TEC umezingatiwa, mimi sina shaka hata kidogo, lakini sasa watuambie kwamba, ushauri wetu umezingatiwa ndo maana tumeshiriki kwenye utiaji saini. Ni hilo tu, wala hakuna shida nyingine.Unatishia hutatoa sadaka! Sadaka ni kwa ajili Muumba sio Reverend.
Pia kaona ushauri aliotoa umefanyiwa kazi ndio maana kaamua kufungua ukurasa mpya.
Ni akili finyu kumgeuza mshenga kuwa bwanaharusi, TEC ni kusanyiko hivyo ni lazima liwe na msemaji mmoja, kaa na sadaka yako ila ujue kanisa Katoliki haliishi kwa sadaka yako wewe panya unayelitisha kanisa.Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Tumsifu Yesu Kristu.

Kama ulikuwa mfuatiliaji wa hili sakata, TEC na Taasisi nyingine za dini (not sure kama Waislamu //Bakwata walikuwapo)waliitwa na their main concern was kurekebishwa mapungufu ya mkatabaKama ushauri walioutoa TEC umezingatiwa, mimi sina shaka hata kidogo, lakini sasa watuambie kwamba, ushauri wetu umezingatiwa ndo maana tumeshiriki kwenye utiaji saini. Ni hilo tu, wala hakuna shida nyingine.
Hata mimi kama vipengele vyenye utata vimerekebishwa, sina shaka hata kidogo na naunga mkono hoja.Nilifikiri wote waliopaza sauti kupinga waliweka wazi kuwa hawapingi uwekezaji, bali vipengele katika mkataba. So kama kwa sasa vipengele vimemridhisha mhusika, sioni ubaya kwake kushirikiana nao. Mtazamo wangu.
Hapana mkuu,ni muhimu kujadili suala la maendeleo ya watu kijamii,kiuchumi na kiutamaduni pasipo kuhusisha dini.Hahaha mkuu usinitafutie ugomvi na Mnafiki Wa Kujitegemea
Wakaendelee kuwasomea waraka wao makanisaniSerikali ya CCM imeipiga TEC "chenga ya mwili " .Mbinu nzuri ya kupata uungwaji mkono ni kumtumia mkosoaji "critic "
Sasa kanisa na wasomi wake wote wameufyata mbele ya Chama, sijui wataambia nini waumini
Kuwa 30 ni kweli, issue ni kwamba wapi palijadiliwa kuwa ni zaidi ya 30.
Kutoa maoni ni haki ya kila mwananchi. Maaskofu walitoa maoni yao, lakini mwenye maamuzi ya mwisho ni serikali. Huna haja ya kuwalaumu maaskofu. Wao walishatua mzigo.
Kwa ufupi, Kitima anatakiwa atoe maelezo , aitishe press kufafanua nini kilijiri.Ni IGA ipi unaizungumzia, mkuu 'Missile'. IGA ile ilikufa. Mikataba hii haina uhusiano wowote na IGA ya aina yoyote ile.
Nitakachowalaumu juu yake hawa maTEC na wengineo, ni kuwa na kichwa kama cha kuku.
Wakihadaiwa na hivi vi-Tsh100 milioni hapa na pale, na makanzu; halafu wasahau mtego unaowekwa ili uwanase tena hapo 2025; hawatakuwa na tofauti yoyote na kuku anayetupiwa punje za mchele ili awe kitoweo.
Hilo litasikitisha sana.
Angekuwa ana mawazo kama yako hangeenda kwenye hafla.Kwa sababu huwa wanaalikwa.Yule ni mwakilishi ukiona ameenda ujue yale yaliyokuwa yanalalamikiwa yamefanyiwa maboreshoTumsifu Yesu Kristu.