Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

Kitima waeleze Wakatoliki kwanini uliwasumbua waumini na ngonjela za WARAKA wa kitume wa kupinga mkataba wa bandari? Leo uko kwenye sherehe kuonesha kuwa sasa TEC hama pingamizi tena. Umeuona mkataba wanaosema umerekebishwa?
Kumbe nyote ni hopeless!
serikali sikivu ya CCM imeskiliza sauti, maoni na mapendekezo ya wananchi wake na imetekeleza matakwa ya waTanzania.........

Ni mwendo wa kuskia, kusema na kutenda.....

Kwenye katiba mpya baada ya uchaguzi mwendo ni huo huo mpaka kieleweke.....
Hongera Mama Dr.PhD.E.G.H samia Suluhu Hassan........
 
Mktaba umebadilishwa sana
Tuoneshe walipobadilisha mkataba, then njoo inbox unipe akaunti yako (iwe ya benki au ya simu) nakupa Tsh 1 milioni. Na kama mkataba umebadilishwa, mbona TEC hawajatueleza kuwa mkataba umebadilishwa ili Watanzania tuliokuwa tunaupinga kwa kufuata upepo, tuweze kuusapoti?

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu kimesharekebishwa maoni yamechukuliwa yamefanyiwa kazi madukuduku yote yamefanyiwa kazi, what else remaining nop!,
::Yaani Retired ulitaka tec wakomae hata marekebisho yakifanyika isikubali tu alimuradi ikatae bila sababu undundu undundu tu, chadomo bana akili zao wanazijia wenyewe.
 
Acha hisia. Ukisikiliza vizuri zile hoja zote za TEC zimezingatiwa kwa 100%. TEC hawajawahi kuwa wanafiki.
1. Muda wa mkataba
2. Indicators
3. Kupimwa kila baada ya miaka 5
4. Umiliki wa hisa kwa %
5. Dp wanepewa Gati chache tu
6. Ulinzi na usalama chini ya serikali
7. Bandari za mwambao na maziwa hawahusiki nazo Dp.

Yote haya yalikuwa maoni ya TEC. Wamefanya lobbying sana.

Hata IGA imesainiwa upya. Achana na TEC hawajawahi kufeli

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Huyo kilaza achana naye
 
Tuoneshe walipobadilisha mkataba, then njoo inbox unipe akaunti yako (iwe ya benki au ya simu) nakupa Tsh 1 milioni. Na kama mkataba umebadilishwa, mbona TEC hawajatueleza kuwa mkataba umebadilishwa ili Watanzania tuliokuwa tunaupinga kwa kufuata upepo, tuweze kuusapoti?

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Mkuu Uliwahi kuona TEC wanajibu Walichokuwa wanakitolea ufafanuzi siku yyte Kuanzia miaka yote TEC. Hawajawahi kujibu Kujibu kuhusu mikataba ni Jukumu la Serkali sio La TEC...
Mambo kadhaa yamebadilishwa..
...Mapato itakuwa 60%
...Miaka itakuwa 30 with 5 years evaluation
....itakuwa chini ya TPA
....NAKADHALIK
 
Ficha upumbavu wako, waraka ulitaka nini na kilichosainiwa kuna nini ndani, au msikilize mhe Rais inatosha kuelewa, heko TEC bila nyie taifa lilikuwa linapotea.
Kama maoni yamezingatiwa na mkataba umeboreshwa ,basi shida ya mtoa mada ni uwepo wa Waarabu bandarini.
 
Acha hisia. Ukisikiliza vizuri zile hoja zote za TEC zimezingatiwa kwa 100%. TEC hawajawahi kuwa wanafiki.
1. Muda wa mkataba
2. Indicators
3. Kupimwa kila baada ya miaka 5
4. Umiliki wa hisa kwa %
5. Dp wanepewa Gati chache tu
6. Ulinzi na usalama chini ya serikali
7. Bandari za mwambao na maziwa hawahusiki nazo Dp.

Yote haya yalikuwa maoni ya TEC. Wamefanya lobbying sana.

Hata IGA imesainiwa upya. Achana na TEC hawajawahi kufeli

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Hayo unayoyasema umeyaona? Je kama aliesherehesha kaambiwa aseme hayo ilihali sio kweli..
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Huu Uzi umeasisiwa Lumumba
 
Kitima waeleze Wakatoliki kwanini uliwasumbua waumini na ngonjela za WARAKA wa kitume wa kupinga mkataba wa bandari? Leo uko kwenye sherehe kuonesha kuwa sasa TEC hama pingamizi tena. Umeuona mkataba wanaosema umerekebishwa?
Kumbe nyote ni hopeless!
Ukuwaelewa tu, lini upper class iwakilishe lower class, walichokua wanataka walikipata wao kama wao, sisi maaikini tutaendelea kupiga kelele kama kawaida.
 
Ukuwaelewa tu, lini upper class iwakilishe lower class, walichokua wanataka walikipata wao kama wao, sisi maaikini tutaendelea kupiga kelele kama kawaida.
Siyo kwenye mambo ya kiroho
 
Wewe jitoe bhana usitutangazie, shida yako ni kuona serikali inagombana na watu wake.
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Sahihisho: TEC hawakupinga uwekezaji wa DP World bali walipinga baadhi ya vipengele katika mkataba ambavyo havikuwa na maslahi kwa nchi yetu. Rais amesema kuwa mkataba umeboreshwa na maoni ya wadau wote yamezingatiwa,kama TEC wamejiridhisha kuwa mkataba umekidhi matakwa ya wazalendo unataka waendelee kupinga tu? Au wewe una shida tu na TEC na siyo hoja zao?
 
It seems RC wameshapiga dili kimyakimya.

Zile saini za wale maaskofu 37 zimenajisiwa hivihivi.

Otherwise kwa nini wasiwe wakweli kwetu, waueleze umma na dunia kuwa kipengele gani kimebadilishwa katika IGA?

Otherwise It is shameful maaskofu kukana waraka wao kwa nyendo za aibu ya wazi namna hii!. Can't be trusted!
Wewe ulikua unategemea nini? kweli. Serikali umekuahidi kukufutia madeni yako ya benki 700m bado uendelee kuga'ngania na msimamo wa waraka tu. Huyu mtanzania wanamna hiyo hajazaliwa bado tu, huo mfano tu, tena catgolics ni capitalists money oriented kuliko dini zingine.
 
kuna vikundi vya kihuni huwa vinadhani Rais akiamua kuwa kimya kuwasikiliza hudhani Rais anaviogopa.

Samia kaacha kila mwenye vocal apige kelele, baada ya kelele kasaini Mkataba tena hadharani na kawaalika wapiga kelele wote.

huyu Mama kwny hard skin ya kisiasa anafanana sana na Mwamba wa Msoga ambae husema Siasa hainogi bila ya kuzodoana.

Ridhiwani aliwahi kusema kuwa Baba yake alimfundisha kuwa kwny Siasa usipopata wa kukuponda, kukukejeli na kukudhihaki basi bado hujawa Mwanasiasa mwandamizi.
 
Inawezekana huenda yale yaliyokuwa yanaleta shaka kwenye mkataba yamerekebishwa!

Ila kwa kweli inapaswa aje atoe maelezo kwa Wakatoriki kwa nini amefanya u-turn namna hiyo!

Ikiwezekana maaskofu watunge waraka mwingine wa kufuta yale ambayo yalisomwa katika waraka wa mwanzo ambao ulisomwa katika makanisa ya Katoriki kwa takribani mwezi mzima!

Nchi hii ni ngumu sana!
 
TEc ni kikundi tu cha watu serikali ina taratibu zake. TEC walijisahau kuwa mama hatetereki
Siyo kweli,Mama mwenyewe amekiri kuwa maoni ya wananchi yakiwepo ya TEC yamezingatiwa na kuingizwa kwenye mikataba iliyosainiwa jana. Ukweli ni kuwa Serikali imekiri kuwa ilikosea na imejirekebisha. Unafikiri kama TEC na wadau wengine tusingepiga kelele yangekuwepo maboresho kwenye hiyo mikataba?
 
Back
Top Bottom