Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali sikivu ya CCM imeskiliza sauti, maoni na mapendekezo ya wananchi wake na imetekeleza matakwa ya waTanzania.........Kitima waeleze Wakatoliki kwanini uliwasumbua waumini na ngonjela za WARAKA wa kitume wa kupinga mkataba wa bandari? Leo uko kwenye sherehe kuonesha kuwa sasa TEC hama pingamizi tena. Umeuona mkataba wanaosema umerekebishwa?
Kumbe nyote ni hopeless!
Tuoneshe walipobadilisha mkataba, then njoo inbox unipe akaunti yako (iwe ya benki au ya simu) nakupa Tsh 1 milioni. Na kama mkataba umebadilishwa, mbona TEC hawajatueleza kuwa mkataba umebadilishwa ili Watanzania tuliokuwa tunaupinga kwa kufuata upepo, tuweze kuusapoti?Mktaba umebadilishwa sana
Kama mikataba umebadilishwa ,basi shida ya mtoa mada ni uwepo wa Waarabu Bandarini.Mktaba umebadilishwa sana
Huyo kilaza achana nayeAcha hisia. Ukisikiliza vizuri zile hoja zote za TEC zimezingatiwa kwa 100%. TEC hawajawahi kuwa wanafiki.
1. Muda wa mkataba
2. Indicators
3. Kupimwa kila baada ya miaka 5
4. Umiliki wa hisa kwa %
5. Dp wanepewa Gati chache tu
6. Ulinzi na usalama chini ya serikali
7. Bandari za mwambao na maziwa hawahusiki nazo Dp.
Yote haya yalikuwa maoni ya TEC. Wamefanya lobbying sana.
Hata IGA imesainiwa upya. Achana na TEC hawajawahi kufeli
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Mkuu Uliwahi kuona TEC wanajibu Walichokuwa wanakitolea ufafanuzi siku yyte Kuanzia miaka yote TEC. Hawajawahi kujibu Kujibu kuhusu mikataba ni Jukumu la Serkali sio La TEC...Tuoneshe walipobadilisha mkataba, then njoo inbox unipe akaunti yako (iwe ya benki au ya simu) nakupa Tsh 1 milioni. Na kama mkataba umebadilishwa, mbona TEC hawajatueleza kuwa mkataba umebadilishwa ili Watanzania tuliokuwa tunaupinga kwa kufuata upepo, tuweze kuusapoti?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Kama maoni yamezingatiwa na mkataba umeboreshwa ,basi shida ya mtoa mada ni uwepo wa Waarabu bandarini.Ficha upumbavu wako, waraka ulitaka nini na kilichosainiwa kuna nini ndani, au msikilize mhe Rais inatosha kuelewa, heko TEC bila nyie taifa lilikuwa linapotea.
Watu shida yao walitaka waarabu waondoke ila sio mkataba ubadilishwe ila TEC walitaka mkataba ubadilishwe na sio kuwafukuza waarabuKama mikataba umebadilishwa ,basi shida ya mtoa mada ni uwepo wa Waarabu Bandarini.
Hayo unayoyasema umeyaona? Je kama aliesherehesha kaambiwa aseme hayo ilihali sio kweli..Acha hisia. Ukisikiliza vizuri zile hoja zote za TEC zimezingatiwa kwa 100%. TEC hawajawahi kuwa wanafiki.
1. Muda wa mkataba
2. Indicators
3. Kupimwa kila baada ya miaka 5
4. Umiliki wa hisa kwa %
5. Dp wanepewa Gati chache tu
6. Ulinzi na usalama chini ya serikali
7. Bandari za mwambao na maziwa hawahusiki nazo Dp.
Yote haya yalikuwa maoni ya TEC. Wamefanya lobbying sana.
Hata IGA imesainiwa upya. Achana na TEC hawajawahi kufeli
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Huu Uzi umeasisiwa LumumbaTumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Ukuwaelewa tu, lini upper class iwakilishe lower class, walichokua wanataka walikipata wao kama wao, sisi maaikini tutaendelea kupiga kelele kama kawaida.Kitima waeleze Wakatoliki kwanini uliwasumbua waumini na ngonjela za WARAKA wa kitume wa kupinga mkataba wa bandari? Leo uko kwenye sherehe kuonesha kuwa sasa TEC hama pingamizi tena. Umeuona mkataba wanaosema umerekebishwa?
Kumbe nyote ni hopeless!
Siyo kwenye mambo ya kirohoUkuwaelewa tu, lini upper class iwakilishe lower class, walichokua wanataka walikipata wao kama wao, sisi maaikini tutaendelea kupiga kelele kama kawaida.
Kwa wingi wa ujinga uliopo kuanzia juu mpaka chini, nakubaliana na weweThe fact kwamba ccm bado ipo madarakani kwa muda wote pamoja na upuuzi wao na RC wapo na tunaambiwa wana nguvu inaonyesha kwamba hawa watu ni wamoja na wana masrahi yanayofanana.
Sahihisho: TEC hawakupinga uwekezaji wa DP World bali walipinga baadhi ya vipengele katika mkataba ambavyo havikuwa na maslahi kwa nchi yetu. Rais amesema kuwa mkataba umeboreshwa na maoni ya wadau wote yamezingatiwa,kama TEC wamejiridhisha kuwa mkataba umekidhi matakwa ya wazalendo unataka waendelee kupinga tu? Au wewe una shida tu na TEC na siyo hoja zao?Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Wewe ulikua unategemea nini? kweli. Serikali umekuahidi kukufutia madeni yako ya benki 700m bado uendelee kuga'ngania na msimamo wa waraka tu. Huyu mtanzania wanamna hiyo hajazaliwa bado tu, huo mfano tu, tena catgolics ni capitalists money oriented kuliko dini zingine.It seems RC wameshapiga dili kimyakimya.
Zile saini za wale maaskofu 37 zimenajisiwa hivihivi.
Otherwise kwa nini wasiwe wakweli kwetu, waueleze umma na dunia kuwa kipengele gani kimebadilishwa katika IGA?
Otherwise It is shameful maaskofu kukana waraka wao kwa nyendo za aibu ya wazi namna hii!. Can't be trusted!
Siyo kweli,Mama mwenyewe amekiri kuwa maoni ya wananchi yakiwepo ya TEC yamezingatiwa na kuingizwa kwenye mikataba iliyosainiwa jana. Ukweli ni kuwa Serikali imekiri kuwa ilikosea na imejirekebisha. Unafikiri kama TEC na wadau wengine tusingepiga kelele yangekuwepo maboresho kwenye hiyo mikataba?TEc ni kikundi tu cha watu serikali ina taratibu zake. TEC walijisahau kuwa mama hatetereki