1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.
Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.
Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.
Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.