Uwezekano wa kuzuia Uchaguzi kwa Maandamano siku ya Uchaguzi.

Usisahau kwamba camera za ICC zitakuwa on kurekodi hao unaosema polisi,jw,uvccm,mgambo. Na ndio mwanzo wa watu kwenda kushtakiwa
ICC huwa inaingia baada ya damu kumwagika vya kutosha. Hapo Msumbiji hadi leo kuna machafuko ya uchaguzi, umeona ICC wakiongea lolote?
 
Kama kweli hawa ndyo washaur wa chadema, nmegundua kwa nini upinzani wa nch hi hauwez endelea..
Kumbuka hyo ajenda ya no uniform, no erection ni ajenda ya chadema na si ajenda ya kitaifa au vyama vingne.
Wengi huenda kusikilza chadema mikutanon kwa sababu ni muda mrefu hawajawahi kumuona tundu.
Umepgia mahesabu polis, umesahau JKT.. UMESAHAU MGAMBO, kumbuka hapo mnavunja katiba, hivo mmesahau wenye wajibu wao wa kulinda katiba{JWTZ}.
halafu hawa watakuwa wanadeal na wanachadema ni si taifa zima.
umesahau ndani ya chadema tu kuna mpasuko na hakuna dalil ya kuutibu maana viongoz wote wa juu hakuna mwenye busara, kila mtu anajifanya anajua..NI BAHATI MBAYA SANA RAIS ANGEKUWA LISU HALAFU WASHAUR WAKE NI LEMA, HECHE..
hv hawa watanzania wanao ichangia chadema tonetone had sasa wanaendelea kuchanga?
hv unajua ni wanachama wangapi wamegoma kama sio kuacha kulipia kadi zao?
Kwahiyo Chadema wanapoitisha mikutano hawaongei na umma.

JKT, Mgambo wako wangapi kati ya watanzania zaidi ya m40.
 
CHADEMA hawawezi na hawana uhalali kuzuia uchaguzi,

Watanzania wakiamua kukubali hoja za CHADEMA na wanaharakati wengine ndio wenye UWEZO WA kuzuia uchaguzi batili usifanyike.

CHADEMA pekee ikijipeleka bila ushawishi na uungwaji mkono wa wana
Ila uhalali wa kuiba kura upo?
 
Kwahiyo Chadema wanapoitisha mikutano hawaongei na umma.

JKT, Mgambo wako wangapi kati ya watanzania zaidi ya m40.
TATIZO CHADEMA WANATAKA KUIAMINISHA TANZANIA YA KWAMBA NO UNIFORM NO ERECTION NI AJENDA YA TAIFA..HUO NI UONGO, NI SAWA KUWAAMINISHA WATANZANIA KUWA WOTE NI WANASIMBA..
HUBIRINI AJENDA YENU YA CHADEMA, MSIVURUGE HAKI ZA WENGNE AMBAO HAWAVUTIWI NA NYIE.. KURA WATANZANIA WATAPGA NA HAMTAWAFANYA CHOCHOTE..HAD LEO PALE MWANZA WATU NI VILEMA WENGNE NI MAREHEMU, CHADEMA HAIJAWAHI KUTAMBUA UWEPO HATA WA FAMILI ZAO WAKATO ULEMAVU HUO ULILETWA NA SIASA UCHWARA ZA CDM..
endeleen na harakat zenu msilazimishe watu na kuwatisha kwa ujnga wenu wa kukosa political strategist mzuri.
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Hesabu za mwendawazimu zitawaponza mapoyoyo wa CHADEMA
 
Shida ya chadema chama changu hawanaga task force.

Hawajasoma maandamano makubwa ulimwenguni yanafanyikaje.

Maandamano ya kuitingisha serikali lazima muwe na watu wenu/red brigade ambao ni highly and tactically trained. Then Hawa wanatumia waandamanaji kama muavuli wa kufikia malengo.

Na ikitokea mahali inatakiwa physical confrontation, then Hawa ndio wanafanya. Mwananchi wa kawaida aliyekula ugali na mchicha na maji ya kisima hataweza kukabiliana na Askari kamwe.

Hivyo from long time ago ilibidi wawe na watu wao ambao ni trained then mass ni camouflage tu. Hapo angalau kidogo mambo yanakuwa rahisi. Maana maamdamano yakichanganya Vurugu zikitokea Hawa trained red brigade ndio wanaenda mbele Sasa Ili kunipa Mimi kapuku morale ya kusonga mbele.
 
Huu mtego wa kuandamana siku ya uchaguzi,

Sioni mahala ccm na Serikali wakiuepuka, watanasa kwa kupeleka majeshi vituoni hivyo wananchi hawatojitokeza kuhofia vurugu hivyo agenda iliyoanzishwa na CDM itafanikiwa.
Leo umeongea point, hapo veggies lazima wapanic wapeleke wajeda kufanya usafi na wananchi hawataenda..!!
Lissu atakuwa kaionyesha dunia kwamba wananchi wamegoma kupiga kura 😹😹😹

Hapo veggies hawajui cha kushika..!!
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Naona mnaangalia upande mmoja tuu.
Kuna vijana wa CCM ambao wanataka uchaguzi .
Hawo watakua w pamoja na polisi katika kulinda kura.
Na pia wizi wa kura ndio utafanyika kirahisi na zita tangazwa.

Hii siyo njia ila ndio kifo cha chadema.
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Na hao watakaoandamana nchi nzima wanatoka wapi? Halafu chengine, kama wewe una analysis hiyo unafikiri watu wa Risk Management Serikalini na kwenye Vyombo vya Dola hawajafanya hivyo? Je, unafikiri CCM ipo madarakani miaka yote hiyo na mingine mia moja ijayo bila kulijua hilo?

Ngoja tusubiri muda ufike uone!
 
Hawa mabwege hasa huyu mtoa mada ana hesabu za kipimbi sana. Kwanza yeye mwenyewe hawezi kuingia barabarani kwa maandamano, ila anategemea wengine waingie ndiyo waitingishe Serikali
 
Yaani yanadanganyana humu weeee, halafu siku ya siku kila mmoja anaamini mwenzake ndio ataandamana!
Maria Sarungi na Mange Kimambi wanawaambia wasiogope wapambane kudai haki zao wao wenyewe wameogopa kuja kuwazika wazazi wao na jamaa zao! Halafu hao eti ndio vinara wa maandamano! Wajinga kabisa hao!!
 
Hao chadema waende mahakamani wakagungue kesi ya kuzuia uchaguzi mkuu kama wana ubavu.

Kura itapigwa na maandamano hayatakuwepo, nani haogopi virungu?
Sawa kura itapigwa anapigiwa nan? Na hata usipopiga huna hasara
 
Ninachohofia
CHADEMA hawawezi na hawana uhalali kuzuia uchaguzi,

Watanzania wakiamua kukubali hoja za CHADEMA na wanaharakati wengine ndio wenye UWEZO WA kuzuia uchaguzi batili usifanyike.

CHADEMA pekee ikijipeleka bila ushawishi na uungwaji mkono wa wananchi inaweza kufutwa..
ni watajuaje kuwa huyu anaenda kupiga kura na huyu anaandamana? Kwa kifupi ni kuwa hata wenye nia ya kupiga kura wataogopa kwakuhofia kukamatwa au kupigwa wakidhaniwa waandamaji
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Yes, this is fact
 
Back
Top Bottom