Watanzania wakiamua, sawa hata Wanachama wa Chadema ni watanzania.CHADEMA hawawezi na hawana uhalali kuzuia uchaguzi,
Watanzania wakiamua kukubali hoja za CHADEMA na wanaharakati wengine ndio wenye UWEZO WA kuzuia uchaguzi batili usifanyike.
CHADEMA pekee ikijipeleka bila ushawishi na uungwaji mkono wa wananchi inaweza kufutwa..
Kumbuka si polisi tu, hata na JWTZ, Magereza, uvccm nk hutumika na huvalishwa nguo za polisi. Kinachofanyika huwa wanapewa posho za binafsi kuwnzia 500,000 na kuendelea, na kiwango huwa juu kulingana na upinzani wa eneo husika. Maagizi wanayopewa ni kuua hupewa hela nyingi zaidi, na hakuna ruhusa vyombo vya habari kutangaza.1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.
Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.
Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.
Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Kama majeshi yote yatahusika hadi JWTZ vurugu nyingi likely kutokea hapo ndipo Chadema itakuwa imefanikiwa kuisimamisha nchi.Kumbuka si polisi tu, hata na JWTZ, Magereza, uvccm nk hutumika na huvalishwa nguo za polisi. Kinachofanyika huwa wanapewa posho za binafsi kuwnzia 500,000 na kuendelea, na kiwango huwa juu kulingana na upinzani wa eneo husika. Maagizi wanayopewa ni kuua hupewa hela nyingi zaidi, na hakuna ruhusa vyombo vya habari kutangaza.
Cdm wanapita kutoa elimu na inaeleweka kwa wengi kuhusu ubovu wa chaguzi zetu. Sio jukumu la cdm kubeba watu majumbani kwenda kupinga uchaguzi wa kihuni. Hata kufutwa acha kifutwe maana kinapigania haki.CHADEMA hawawezi na hawana uhalali kuzuia uchaguzi,
Watanzania wakiamua kukubali hoja za CHADEMA na wanaharakati wengine ndio wenye UWEZO WA kuzuia uchaguzi batili usifanyike.
CHADEMA pekee ikijipeleka bila ushawishi na uungwaji mkono wa wananchi inaweza kufutwa..
Vyombo vya habari vya siku hizi vipo kabatini, watu hawavitumii.Kumbuka si polisi tu, hata na JWTZ, Magereza, uvccm nk hutumika na huvalishwa nguo za polisi. Kinachofanyika huwa wanapewa posho za binafsi kuwnzia 500,000 na kuendelea, na kiwango huwa juu kulingana na upinzani wa eneo husika. Maagizi wanayopewa ni kuua hupewa hela nyingi zaidi, na hakuna ruhusa vyombo vya habari kutangaza.
Unamaanisha mahakama hizi za kangaroo?Hao chadema waende mahakamani wakagungue kesi ya kuzuia uchaguzi mkuu kama wana ubavu.
Kura itapigwa na maandamano hayatakuwepo, nani haogopi virungu?
Ndio nasema kwamba,Cdm wanapita kutoa elimu na inaeleweka kwa wengi kuhusu ubovu wa chaguzi zetu. Sio jukumu la cdm kubeba watu majumbani kwenda kupinga uchaguzi wa kihuni. Hata kufutwa acha kifutwe maana kinapigania haki.
Ni kweli, ila main stream media bado zina nafasi kubwa na rasmi kwenye habari. Huku kwenye social media kuna upotoshaji mwingi unafanywa.Vyombo vya habari vya siku hizi vipo kabatini, watu hawavitumii.
Vyombo vipya vya habari ni sosha network
As long as elon akiwa na maslahi yoyote, mainstream media haziwezi kufua dafu, waulize wabrazilNi kweli, ila main stream media bado zina nafasi kubwa na rasmi kwenye habari. Huku kwenye social media kuna upotoshaji mwingi unafanywa.
Uzuri ni kwamba hata media zote zitakuwa busy kutoa taarifa za hali ya uchaguzi maeneo mbalimbali kwenye vituo vya kupiga kura hivyo kitakachowakuta waandamanaji huko barabarani kitakuwa ni siri kati ya waandamanaji na lami ya barabara walizopita.1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.
Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.
Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.
Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Sahihi kabisa. Agenda za CDM hazitupi guarantee wananchi kama tukiwasaidia kuzuia uchaguzi usio wa halali tutaweza kuwa na serikali itakayofata misingi ya utawala bora, sheria na demokrasia ya kweli. Bado wana kazi kubwa sana ya kufanya, mwanzo mzuri though.CHADEMA hawawezi na hawana uhalali kuzuia uchaguzi,
Watanzania wakiamua kukubali hoja za CHADEMA na wanaharakati wengine ndio wenye UWEZO WA kuzuia uchaguzi batili usifanyike.
CHADEMA pekee ikijipeleka bila ushawishi na uungwaji mkono wa wananchi inaweza kufutwa..
Huu mtego wa kuandamana siku ya uchaguzi,Sahihi kabisa. Agenda za CDM hazitupi guarantee wananchi kama tukiwasaidia kuzuia uchaguzi usio wa halali tutaweza kuwa na serikali itakayofata misingi ya utawala bora, sheria na demokrasia ya kweli. Bado wana kazi kubwa sana ya kufanya, mwanzo mzuri though.
Kumbuka kuna Polisi jamii,kuna mgambo,walinzi wa kampuni binafsi,sisi wananchi pia ni walinzi,ndio pale mnapolazimisha wananchi wa eneo husika.kuchukuwa sheria mkononi,eneo la uchaguzi kama ni shule,au ofisi fulani,au eneo la soko,au liko karibu na maduka ya watu,wafikiri watawaachia muwafanyie fujo.Kaa utulie,achana na mawazo ya askari ni wachache,ukipigiwa kelele za,mwizi,umekwisha.1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.
Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.
Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.
Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Sasa virungu vitajuaje huyu ni mpinga kura na huyu ni muandamanaji?Hao chadema waende mahakamani wakagungue kesi ya kuzuia uchaguzi mkuu kama wana ubavu.
Kura itapigwa na maandamano hayatakuwepo, nani haogopi virungu?
Hakuna kufanikiwa,wananchi wasio na vurugu,wanajulikana na wavurugu wanzjulikana.Wenyeviti wa mitaa,watawatoa hofu wananchi wao,na wajumbe wa mitaa,watawatoa hofu wznanchi wao.Nyinyi jipeni moyo tu,mnadanganywa na kudanganyika.Huu mtego wa kuandamana siku ya uchaguzi,
Sioni mahala ccm na Serikali wakiuepuka, watanasa kwa kupeleka majeshi vituoni hivyo wananchi hawatojitokeza kuhofia vurugu hivyo agenda iliyoanzishwa na CDM itafanikiwa.