Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Na ajiyokeze mtu afanye vurugu mtaani,kama hakuchomwa moto,na kuitwa kibaka.Sasa virungu vitajuaje huyu ni mpinga kura na huyu ni muandamanaji?
Hivi unawajua polisi WEWE wasivyokuaga na fikra, hujawahi ona wazee na walemavu ombaomba wakipigwa na kipakiwa kwenye defenders ingawa hawakuhusika kwenye maandamano?
NdiPo hapo ujue wapigakura hawatojitokeza vituoni , na agenda ya CDM itafanikiwa.
Serikali ijishushe isikie hoja na kuzifanyia kazi japo inauma.
Unapoteza wakati,wakristo wengi wana ndugu zao serekalini wenye ajira,ambako wanapata manufaa kwa hao ndugu,watamsikiliza anayesubiri sadaka kila jumapili.Uchaguzi utazuia na jambo moja kuu!
Maaskofu na Mapadre kuunga mkono maandamano ya amani kudai Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi.
Maombi yangu kwenye waraka wa Pasaka mwaka huu, Baraza Kuu la Maaskofu Katoliki liseme wazi kuwa yafanyike Mabadiliko ya Katiba na Sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi na yasipofanyika watashiriki katika maandamano ya amani kudai hayo.
Hakuna anayepoteza muda. Mwaka 2025 ni mwaka wa kufanyika mabadiliko ya kweli TanzaniaUnapoteza wakati,wakristo wengi wzna ndugu zao serekalini wenye ajira,watamdiliza anayesubiri sadaka .
CHADEMA hawawezi na hawana uhalali kuzuia uchaguzi,
Watanzania wakiamua kukubali hoja za CHADEMA na wanaharakati wengine ndio wenye UWEZO WA kuzuia uchaguzi batili usifanyike.
CHADEMA pekee ikijipeleka bila ushawishi na uungwaji mkono wa wananchi inaweza kufutwa..
Samia uroho na kukubali ushauli wa kina Mwigulu utamtokea puani anaenda kustaaf kama Mkapa akiwa na roho za watanzania kibao zimetoka na wajane ataenda kujibu yeye Mwigulu hatakuepu siku atakapo pumzishwa Kizimkazi ..sijui nini kinamsukuma agombee tena?? Badala ya kuwaachia akafanya Ibada zake kuitafuta Akhera.1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.
Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.
Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.
Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Hakuna anayepoteza muda. Mwaka 2025 ni mwaka wa kufanyika mabadiliko ya kweli Tanzania
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.
Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.
Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.
Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Ccm haipaswi kupewa muda,CDM inafanya kazi ambayo ni ya wanaharakati. Lakini pia ni kinyume na sheria za nchi. Isishangae ikapewa karipio zito, au hata kufutwa kwenye daktari la msajili wa vyama vya siasa ndugu John Tendwa. Sorry kjmbe huyu hatunaye tena.
Lakini ukweli ni huu, Chadema wanafanya movie 🎬 nzuri, ila muda siyo rafiki. Mabadiliko ambayo wengi tunayapenda ni yale ambayo siyo ya zimamoto. Tukifanya haraka haraka, tuta overlook vitu vingi vya msingi.
Tuache uchaguzi upite, halafu 2026 tulianzishe kwa nguvu zote. Lissu uongozi ni pamoja na kuwa na subira, kuvumilia, hekima, na hivi ndivyo vitakupa best 👌 👍 approach and calculation. Maana hata sasa tukisema hupitishe kwenye mpango wako wa mageuzi, pia na gharama zitakavyokuwa zinalipwa. Utasema huna
Mabadiliko ya kiupa thamani kura ya mwananchi kuifanya ihesabiwe na ihesabike.Tupeni huo mpango wa mabadiliko ya kweli. Au Lissu kuwa mgombea wa chama ndiyo mabadiliko
Mabadiliko ya kiupa thamani kura ya mwananchi kuifanya ihesabiwe na ihesabike.
Mabadiliko ya kufanya wananchi kuwa na Viongozi waliowachagua wao kwa kura zao sio walioamuliwa na kikundi cha watu wachache. Viongozi ambao watawajibika kweli kwa Wananchi kwa sababu wanajua ni wananchi waliowaweka madarakani.
Maandamano ili yafanikiwe ni lazima wananchi watoke kwa idadi kubwa, ili watoke ni lazima uwashawishi kuwa hilo jambo ni muhimu kwa kiwango cha kupigana na polisi au jeshi kama itatangazwa hali ya hatari.1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.
Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.
Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.
Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Usisahau kwamba camera za ICC zitakuwa on kurekodi hao unaosema polisi,jw,uvccm,mgambo. Na ndio mwanzo wa watu kwenda kushtakiwaKumbuka si polisi tu, hata na JWTZ, Magereza, uvccm nk hutumika na huvalishwa nguo za polisi. Kinachofanyika huwa wanapewa posho za binafsi kuwnzia 500,000 na kuendelea, na kiwango huwa juu kulingana na upinzani wa eneo husika. Maagizi wanayopewa ni kuua hupewa hela nyingi zaidi, na hakuna ruhusa vyombo vya habari kutangaza.