Uwezekano wa Rais aliye madarakani kuwa shahidi mahakamani ukoje kisheria?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?

Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?

Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
 
Tatizo Lissu anataka kukwamisha hii kesi, sijui anapenda jela?
Hii kesi ya kubambika kwanini anataka kui complicate Hadi isisikilizike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…