NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Kinga yake ni ya kushtakiwa siyo ya kuwa shahidiRais ana kinga kisheria! Mahakama itapeleka ombi kwa Rais ya kua shahidi.
Rais atachagua kwenda au kukausha, ni hiyari kuhudhuria na sio lazima.
Kinga yake ni ya kushtakiwa siyo ya kuwa shahidiRais ana kinga kisheria! Mahakama itapeleka ombi kwa Rais ya kua shahidi.
Rais atachagua kwenda au kukausha, ni hiyari kuhudhuria na sio lazima.
Akikataa kwenda mahakamani nini kitatokea?Kinga yake ni ya kushtakiwa siyo ya kuwa shahidi
Hapana siku soma arts mimi.. Nilisema engineeringChuo mwaka wa kwanza hujasoma somo la law?
Urais ni muhimili brother usiuchukulie powaRaisi anapewa wito na mahakama
EducationHapana siku soma arts mimi.. Nilisema engineering
We ulisoma coz gan kwani?
endelea kudadisi utapata majibu sahihiKwani huyo the so called rais ni Malaika?
Huyo mhaini ameshachanganyikiwa! Hv anafikiri Rais wa JMT ni km yule malaya wake Rose Mayemba? Huyo mwehu mvua zinamsubiri asitafute pa kushika na bado asubiri ripoti ya tume ya uchunguzi ataunganishwa na wenzake kina Heche, na wale malaya waliokimbia nchiLissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?
Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?
Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
Wewe itakuwa ulikula business wewe..Education
Taratibu zipo za kumuita Raisi mahakamani kama shahidiUrais ni muhimili brother usiuchukulie powa
Mbona povu jingi?Huyo mhaini ameshachanganyikiwa! Hv anafikiri Rais wa JMT ni km yule malaya wake Rose Mayemba? Huyo mwehu mvua zinamsubiri asitafute pa kushika na bado asubiri ripoti ya tume ya uchunguzi ataunganishwa na wenzake kina Heche, na wale malaya waliokimbia nchi
Akikamatwa si katiba inakuwa umevunjwa ?Atakamatwa
Rais Mkapa allishawahi kwenda mahakamani Kisutu kutoa Ushahidi. Hivyo hatakuwa wa kwanzaLissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?
Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?
Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
Alikua keshastaafuRais Mkapa allishawahi kwenda mahakamani Kisutu kutoa Ushahidi. Hivyo hatakuwa wa kwanza
Hilo sijui kwa kweli mkuuKinga ya Rais kutoshitakiwa iko akiwa madarakani tu au hata akistaafu ?
🤣🤣🤣🤣🤣MAHAKAMANI PART II
LISSU: Ni kweli kwamba wewe una elimu ya usekretari?
BI MDASHI: Lissu naomba unikome, nina mshono.
Hahaha Elimu ya hapa na pale.MAHAKAMANI PART II
LISSU: Ni kweli kwamba wewe una elimu ya usekretari?
BI MDASHI: Lissu naomba unikome, nina mshono.
Ana kinga ya kushtakiwa sio kutoa ushahidi.Rais ana kinga kisheria! Mahakama itapeleka ombi kwa Rais ya kua shahidi.
Rais atachagua kwenda au kukausha, ni hiyari kuhudhuria na sio lazima.
Wewe unashtakiwa unataka kupindua serikali je Rais asiwe shahidi?.Tatizo Lissu anataka kukwamisha hii kesi, sijui anapenda jela?
Hii kesi ya kubambika kwanini anataka kui complicate Hadi isisikilizike?
Kwenye ushahidi hakuna mwakilishi. Lazima aende.Kinga ya kutokua shahidi anayo sababu kuhudhulia mahakamani kwake ni hiyari na sio lazima.
Anaweza kusema siji, nitatuma mwakilishi au nitakuja