Uwezekano wa Rais aliye madarakani kuwa shahidi mahakamani ukoje kisheria?

Ndio maana DPP anapambana Samia asiwe Shahidi wa Lissu
Tuache DPP kupambana tuje kisheria hii warranty of arrest inaweza kuandikwa na mahakama kwenda kwa Rais kushinikizwa akamatwe?
 
Kwani nini kimkwamishe kwenda mahakamai kutoa ushahidi mpaka wafike kwenye hatua ya kuandika arrest warrant? Uoga au ubabe tu?
 
Lissu anaitumia hiyo kama mbinu ya kimkakati tu hapo rais aje au asije ni ushindi kwake.

Rais akienda mahakamani atatolewa knock out mapema kabisa, na asipoenda tayari mahakama itakua imevuliwa nguo na kuonekana ni dhaifu.
 
Mimi nimemuelewa Katuga.
Kaukiza Rais akikataa kufika mahakamani, mahakama itafanya nini?
 
Kwani Mambo mangapi yanafanywa kinyume cha Katiba kiasi kwamba hili la mahakama lionekane la kipekee?

Ndio maana kuna muda hata kelele za katiba mpya ni kama kufuata mkumbo tu, hii hii iliyopo inasiginwa, hiyo mpya itakuja na kitu gani iwe ya kipekee na kuzingatiwa kila kitu.

Bora ingekua tunapambania kuheshimiwa kwa mifumo iliyopo na kutafuta ufumbuzi wa kwanini katiba iliyopo na taratibu zinakiukwa.
 
Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 5
Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?

Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?

Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
I don’t see how Lissu gets his way in this. First, this is Tanzania—the system is rigged in favor of the big kahunas:

🔹The President is shielded by absolute constitutional immunity from any court processes or subpoenas while in office.
🔹The VP and PM are protected under the amended Basic Rights and Duties Enforcement Act, which insulates top leaders from individual court actions or personal capacity summonses. Because Tundu Lissu’s treason charges are tied to political events, public speeches, and state actions that took place during their tenure, Mpango and Majaliwa remain legally insulated. The law establishes that an official's actions belong to the State, not the individual. Therefore, even as private citizens, they cannot be personally dragged into court to testify about state operations; any legal inquiry must still be directed at the State through the Attorney General. Maybe if they just choose to testify voluntarily like how former President Mkapa proceeded in Costa Mahalu’s case. The probability of this happening is remote though.

Second, the High Court procedural discretion on relevance will be an extremely hard hurdle to overcome. Under Tanzanian criminal procedure, a court is not obligated to issue a subpoena just because a defendant requests one. The judges maintain strict gatekeeping power and will evaluate the relevance and necessity of the witnesses:

🔹The defense must demonstrate that a witness has direct, material, and firsthand knowledge of the specific facts of the alleged treason.
🔹The court will probably rule that calling the former second- and third-in-command is legally unnecessary, as the defense can obtain any relevant official government records or communications directly from active state repositories via the Attorney General.
 
Rais anakutanishwa vipi na muhaini?yaani huo ni mpango wa kutaka kumalizia nia ovi ya uhaini

Rais yupi huyo?.

Kwa sasa Samuya sio rais ni mwenyekiti wa CCM tu.

Kipindi alipokua rais ilikuaje akakutana na gaidi Ikulu?

Una kumbukumbu hii jinga lao?

images - 2026-08-21T050203.514.jpeg
 
I don’t see how Lissu gets his way in this. First, this is Tanzania—the system is rigged in favor of the big kahunas:

🔹The President is shielded by absolute constitutional immunity from any court processes or subpoenas while in office.
🔹The VP and PM are protected under the amended Basic Rights and Duties Enforcement Act, which insulates top leaders from individual court actions or personal capacity summonses. Because Tundu Lissu’s treason charges are tied to political events, public speeches, and state actions that took place during their tenure, Mpango and Majaliwa remain legally insulated. The law establishes that an official's actions belong to the State, not the individual. Therefore, even as private citizens, they cannot be personally dragged into court to testify about state operations; any legal inquiry must still be directed at the State through the Attorney General. Maybe if they just choose to testify voluntarily like how former President Mkapa proceeded in Costa Mahalu’s case. The probability of this happening is remote though.

Second, the High Court procedural discretion on relevance will be an extremely hard hurdle to overcome. Under Tanzanian criminal procedure, a court is not obligated to issue a subpoena just because a defendant requests one. The judges maintain strict gatekeeping power and will evaluate the relevance and necessity of the witnesses:

🔹The defense must demonstrate that a witness has direct, material, and firsthand knowledge of the specific facts of the alleged treason.
🔹The court will probably rule that calling the former second- and third-in-command is legally unnecessary, as the defense can obtain any relevant official government records or communications directly from active state repositories via the Attorney General.
Vipi kuhusu TISS DIG, IGP, CDF ?
 
Back
Top Bottom