Uwezekano wa Rais aliye madarakani kuwa shahidi mahakamani ukoje kisheria?

Uwezekano wa Rais aliye madarakani kuwa shahidi mahakamani ukoje kisheria?

Kwenye kuleta vifungu vya katiba kama biblia ndo nimechemka.
Leta wewe kifungu kinachosema ni lazima Rais kwenda.
Hata mm nilisikia kwa Wanasheria kuwa Raisi ana hiyari ya kwenda au kutokwenda kama shahidi Mahakamani. Na Mahakama haiwezi kumshurutisha/kumlazimisha kama akisema hataki kuwa shahidi.
 
Hata mm nilisikia kwa Wanasheria kuwa Raisi ana hiyari ya kwenda au kutokwenda kama shahidi Mahakamani. Na Mahakama haiwezi kumshurutisha/kumlazimisha kama akisema hataki kuwa shahidi.
Walitoa maelezo yoyote zaidi ya ufafanuzi kuhusu kifungu chochote cha Katiba, Sheria au ruling ya mahakama kusapoti maelezo yao ?
 
Mimi sio mwanasheria ila kwa mtazamo wangu kwakuwa Raisi anakinga ya kutokushtakiwa hvyo ata asipoenda sioni chochote atakachofanywa hvyo ni vile vile naungana na maoni ya wanaosema kwenda ni hiyar yake
 
Sasa mtuhumiwa akisema ushahidi wake wa utetezi hauwezi kukamilika bila rais kuwepo kesi itaamuliwaje ?
 
Rais ana kinga kisheria! Mahakama itapeleka ombi kwa Rais ya kua shahidi.

Rais atachagua kwenda au kukausha, ni hiyari kuhudhuria na sio lazima.
kama kuna kitu nakipenda kutoka kwako ni unavyojibu hoja kiakili sana ndugu yangu. Yaani unaweka mihemko kando na unaeleza jambo kiufupi na inaeleweka. Big up sana kiongozi. Tukipata watu kama wewe wanne watano tutaenda mbali sana.
 
Back
Top Bottom